Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa''' (Kiingereza- United Nations Human Rights Council United Nations Human Rights Council (UNHRC) lipo ndani ya Mfumo wa Umoja wa Maitaifa. UNHRC liliundwa ili kuchukua nafasi ya Tume ya Haki za Binadamu ya umoja wa Mataifa.
'''Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa''' (Kiingereza- ''United Nations Human Rights Council United Nations Human Rights Council'' (UNHRC) lipo ndani ya Mfumo wa Umoja wa Maitaifa. UNHRC liliundwa ili kuchukua nafasi ya Tume ya Haki za Binadamu ya umoja wa Mataifa.

Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulianzisha UNHRC tar 15 Machi 2006. Baraza hili liliundwa kuibadili tume ya Haki za Binadamu ya umoja wa Mataifa (the United Nations Commission on Human Rights (CHR)) kwasababu liliziruhusu nchi zenye rekodi mbaya za utunzaji wa Haki za Bianadamu kuwa washirika.<ref>{{cite news|url=http://news.bbc.co.uk/2/hi/europe/4810538.stm|publisher=BBC|date=15 March 2006|title=UN creates new human rights body}}</ref><ref>http://daccess-ods.un.org/access.nsf/Get?Open&DS=A/60/PV.72&Lang=E</ref>

Pitio la 09:06, 25 Januari 2020

Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (Kiingereza- United Nations Human Rights Council United Nations Human Rights Council (UNHRC) lipo ndani ya Mfumo wa Umoja wa Maitaifa. UNHRC liliundwa ili kuchukua nafasi ya Tume ya Haki za Binadamu ya umoja wa Mataifa.

Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulianzisha UNHRC tar 15 Machi 2006. Baraza hili liliundwa kuibadili tume ya Haki za Binadamu ya umoja wa Mataifa (the United Nations Commission on Human Rights (CHR)) kwasababu liliziruhusu nchi zenye rekodi mbaya za utunzaji wa Haki za Bianadamu kuwa washirika.[1][2]

Marejeo

  1. "UN creates new human rights body", BBC, 15 March 2006. 
  2. http://daccess-ods.un.org/access.nsf/Get?Open&DS=A/60/PV.72&Lang=E

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: