Mtumiaji:Mtongori : Tofauti kati ya masahihisho
Removing Matinde.jpg, it has been deleted from Commons by Gbawden because: Personal photo by non-contributors (F10). |
No edit summary |
||
Mstari 14: | Mstari 14: | ||
|tovuti rasmi = |
|tovuti rasmi = |
||
}} |
}} |
||
Karibu kwenye ukurasa wa '''Matinde John''', ni |
Karibu kwenye ukurasa wa '''Matinde John''', ni mhariri wa [[Wikipedia]] ya [[Kiswahili]] kutoka nchini [[Tanzania]].Pia Matinde John Amehitimu shahada ya kwanza ya Uhandisi wa electrokia na Mawasiliano kutoka chuo kikuu cha '''Mtakatifu Yosefu''' kilichopo Mbezi Dar es salaam Tanzania . |
||
==Kuzaliwa== |
==Kuzaliwa== |
Pitio la 07:50, 25 Januari 2020
Matinde John | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Mtongori |
Alizaliwa | 1992 Feb 28 |
Nchi | Tanzania |
Kazi yake | Mhandisi |
Wazazi | John Chegere Marwa na Bhoke Magabe |
Karibu kwenye ukurasa wa Matinde John, ni mhariri wa Wikipedia ya Kiswahili kutoka nchini Tanzania.Pia Matinde John Amehitimu shahada ya kwanza ya Uhandisi wa electrokia na Mawasiliano kutoka chuo kikuu cha Mtakatifu Yosefu kilichopo Mbezi Dar es salaam Tanzania .
Kuzaliwa
Matinde John alizaliwa tarehe (28 feb 1992 ) wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani .Pia Matinde John ni mtoto wa nne kwenye familia ya John Marwa Masero (Chegere) iliyopo Kijiji cha Nyang'aranga kata ya Mugeta mkoa wa Mara, Majina mengine ya Matinde John ni Mtongori ndo jina maarufu hapo Kijijini kwao Nyang'aranga
Shule ya Msingi
Matinde John alisoma shule ya msingi Nyang'aranga iliyopo Wilaya ya Bunda Mara toka darasa la kwanza mpaka darasa la tano na baadae kuhamia shule ya Msingi Kiluvya wilaya ya Ubungo iliyopo mkoa wa Dar es salaam.Baada ya kumaliza darasa la saba alifaulu na kuchaguliwa shule ya sekondari ya kibamba. [1]
Shule ya Sekondari
Matinde John alianza shule ya Kibamba sekondari toka mwaka (2008-2011) kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha nne masomo ya sayansi .Alifaulu kidato cha nne.[2] mwaka 2011 na kuchagulia kidato cha tano Azania[3] .Mwaka wao ndo walikuwa wa pili kumaliza kidato cha nne baada ya kuanzishwa Kibamba.Kibamba sekondari ni mojawapo ya shule za kata katika kata ya Kibamba wilaya mpya ya Ubungo mkoa wa Dar es salaam[4].Ubungo ni mojawapo ya wilaya mpya zilizoongeza Tanzania Ubungo imeongezeka baada ya wilaya ya Kinondoni kugawanyika na kupatika wilaya ya kinondoni na Ubungo
Shule ya kidato cha tano na sita
Pia Matinde John alisoma Azania[5] sekondari PCM.(Physics chemistry na Mathematics) toka mwaka 2012-2014
Chuo Kikuu
Alisoma chuo kikuu cha mtakatifu Yosefu (St Joseph college of Engineering and Technology) kilichopo mbezi Dar es salaam Tanzania toka mwaka (2014-2018).Mtongori ni mhandisi wa electrokia Na mawasiliano inayojulikana kama (Electronic and communication engineering)
Maisha yake
Matinde John kwa sasa amemaliza shahada yake ya kwanza katika chuo kikuu cha Uhandisi kilichopo wilaya ya Ubungo mkoa wa Dar es salaam.Matinde John ni mtoto wa nne wa kiume katika familia ya Mzee John Marwa Masero na mtoto wa tatu kwa upande wa Mama yake Bhoke Magabe.
Marejeo
- ↑ https://www.sitelinks.info/search/matokeo-ya-darasa-la-saba-2007/
- ↑ http://196.44.162.33/necta2011/CSEE%202011/s3091.htm
- ↑ https://www.scribd.com/doc/51144533/Orodha-Ya-Wavulana-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-tano-2011
- ↑ http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Dar-yapendekeza-wilaya-mbili-mpya/1597296-2291018-11ugp8bz/index.html
- ↑ http://www.azaniasecondary.sc.tz/