Tofauti kati ya marekesbisho "Luangwa (mto)"

Jump to navigation Jump to search
31 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
No edit summary
{{Sanduku ya Mto | river_name = Mto wa Luangwa
| image_name = Luangwa_river02.jpg
| caption = Bonde la Luangwa karibu na Ludeva nchini Zambia
| mouth = [[Mto Zambezi]]
| basin_countries = [[Zambia]], [[Malawi]], [[Msumbiji]]
| length = 806 km 806
| elevation = m 1,500 m
| discharge = 31.6 m³/s 31.6
| watershed = 145,700 km² 145,700
}}
 
'''Mto Luangwa''' ni [[mto]] mkubwa wa [[Zambia]] ya [[mashariki]].
 
Kuna mto wa pili mdogo zaidi wenye [[jina]] hilohilohilo unaoishia katika [[Ziwa Kariba]].
 
==Mwendo==
Luangwa ina [[Chanzo (mto)|chanzo]] chake katika [[milima ya Mafinga]] karibu na mpaka wa [[Tanzania]] na [[Malawi]]. Kwa jumla huelekea [[kusini]] sambamba na mpaka wa Malawi. Unapita maeneo mapana ya hifadhi za taifa za Luangwa Kaskazini na Luambe hadi Luangwa Kusini.
 
Takriban [[kilomita]] 500 baada ya chanzo [[bonde]] la mto linakuwa jembamba lenye magenge makali kila upande. Kabla ya [[mdomo]] wake mto Luangwa ni mpaka kati ya Zambia na [[Msumbiji]].
 
Mto unaishia katika [[Zambezi]] kwenye [[mji]] wa [[Luangwa]].
[[Jamii:Mito ya Afrika]]
[[Category:Mito ya Zambia]]
[[Jamii:Mito ya Malawi]]
[[Jamii:Mito ya Msumbiji]]
[[Jamii:Mto Zambezi]]
[[Jamii:MitoBahari ya MalawiHindi]]

Urambazaji