Elimu madini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Mineralogy between its other sciences around.png|300px|thumb|Elimu madini inaunganisha kemia, fizikia, elimu maunzi na jiolojia]]
[[Picha:Mineralogy between its other sciences around.png|300px|thumb|Elimu madini inaunganisha kemia, fizikia, elimu maunzi na jiolojia.]]
'''Elimu madini''' (ing. ''mineralogy)'' ni ni tawi la [[jiolojia]] linalochunguza kemia, muundo na tabia za [[madini]].
'''Elimu madini''' (kwa [[Kiingereza]]: ''mineralogy)'' ni [[tawi]] la [[jiolojia]] linalochunguza [[kemia]], [[muundo]] na [[tabia]] za [[madini]].


[[Madini]] ni vitu ambavyo huunda [[Mwamba (jiolojia)|miamba]]. Kuna aina nyingi tofauti za [[madini]]. Baadhi ni ngumu, kama [[almasi]] . Baadhi ni laini, kama [[jasi]]. Baadhi ni ya [[metali]], kama [[dhahabu]] au [[chuma]].
[[Madini]] ni vitu ambavyo huunda [[Mwamba (jiolojia)|miamba]]. Kuna aina nyingi tofauti za [[madini]]. Baadhi ni ngumu, kama [[almasi]]. Baadhi ni laini, kama [[jasi]]. Baadhi ni [[metali]], kama [[dhahabu]] au [[chuma]].


[[Madini]] hupangwa katika vikundi maalum kulingana na kemikali ndani zao, au kulimgana na muundo za fuwele ndani yao.
[[Madini]] hupangwa katika vikundi maalum kulingana na [[kemikali]] ndani yake, au kulingana na muundo za [[fuwele]] ndani yake.


Uchunguzi wa madini unaleta habari nyingi kuhusu miamba na historia ya Dunia. Elimu hii inasaidia pia kuelewa nafasi kwa matumizi ya madini tofauti, na kuongoza utafiti kwa kupata madini mbadala au kutengeneza madini kwenye maabara kwa matumizi katika teknolojia.
[[Uchunguzi]] wa madini unaleta habari nyingi kuhusu miamba na [[historia]] ya [[Dunia]]. [[Elimu]] hiyo inasaidia pia kuelewa nafasi kwa matumizi ya madini tofauti, na kuongoza [[utafiti]] kwa kupata madini mbadala au kutengeneza madini kwenye [[maabara]] kwa matumizi katika [[teknolojia]].


Wakati mwingine sura au umbo la madini inaonyesha jinsi ilivyoundwa. Kwa mfano, madini katika [[miamba ya mgando]] ''(igneous rock)'' yanasaidia kujua ni umri wa mwamba tangu kuganda (kubadilika kutoka kwa [[lava]] kuwa mwamba). Madini makubwa yanamaanisha mwamba uliopozwa polepole (labda chini ya ardhi). Madini madogo humaanisha kuwa mwamba ulipozwa haraka (labda juu ya ardhi, kama kutoka kwa [[volkeno]]). Aina ya madini katika mwamba pia zinaweza kuonyesha ni mwamba wa aina gani, au kile kilichotokea kwa mwamba tangu kuundwa. Miamba mingi hupewa jina kulingana na aina ya madini iliyo nayo.
Wakati mwingine sura au [[umbo]] la madini vinaonyesha jinsi yalivyoundwa. Kwa mfano, madini katika [[miamba ya mgando]] ''(igneous rock)'' yanasaidia kujua [[umri]] wa mwamba tangu kuganda (kubadilika kutoka [[lava]] kuwa mwamba). Madini makubwa yanamaanisha mwamba uliopozwa polepole (labda chini ya [[ardhi]]). Madini madogo humaanisha kuwa mwamba ulipozwa haraka (labda juu ya ardhi, kama kutoka [[volkeno]]). Aina za madini katika mwamba pia zinaweza kuonyesha ni mwamba wa aina gani, au kile kilichotokea kwa mwamba tangu kuundwa. Miamba mingi hupewa [[jina]] kulingana na aina ya madini iliyonayo.


Wataalamu wa elimu madini huangalia madini katika miamba kwa kutumia lenzi za mkononi, na kwa undani zaidi wakikata mabapa membamba na kuyachungulia chini ya [[hadubini]]. Huangalia umbo na ukubwa wa fuwele, na rangi ya madini. Maelezo haya yanasaidia kujua ni madini gani yanayoangaliwa.
[[Wataalamu]] wa elimu madini huangalia madini katika miamba kwa kutumia [[lenzi]] za [[Mkono|mkononi]], na kwa undani zaidi wakikata mabapa membamba na kuyachungulia chini ya [[hadubini]]. Huangalia umbo na ukubwa wa fuwele, na [[rangi]] ya madini. Maelezo hayo yanasaidia kujua ni madini gani yanayoangaliwa.

Madini hutumika katika mambo mengi tofauti, kama mapambo ya vito, kilimo, ufinyanzi, kutengeneza metali na mengine.


Madini hutumika katika mambo mengi tofauti, kama mapambo ya [[vito]], [[kilimo]], [[ufinyanzi]], kutengeneza metali na mengine.


== Tovuti za Nje ==
== Tovuti za Nje ==

* [http://www.ima-mineralogy.org/ International Mineralogical Association]
* [http://www.ima-mineralogy.org/ International Mineralogical Association]
* [http://mineralogicalassociation.ca/ Mineralogical Association of Canada]
* [http://mineralogicalassociation.ca/ Mineralogical Association of Canada]
Mstari 22: Mstari 20:
* [http://giantcrystals.strahlen.org/The Giant Crystal Project]
* [http://giantcrystals.strahlen.org/The Giant Crystal Project]
* [http://www.geosociety.org/The Geological Society of America]
* [http://www.geosociety.org/The Geological Society of America]
{{mbegu-sayansi}}

[[Jamii:Jiolojia]]
[[Jamii:Jiolojia]]

Pitio la 08:49, 21 Januari 2020

Elimu madini inaunganisha kemia, fizikia, elimu maunzi na jiolojia.

Elimu madini (kwa Kiingereza: mineralogy) ni tawi la jiolojia linalochunguza kemia, muundo na tabia za madini.

Madini ni vitu ambavyo huunda miamba. Kuna aina nyingi tofauti za madini. Baadhi ni ngumu, kama almasi. Baadhi ni laini, kama jasi. Baadhi ni metali, kama dhahabu au chuma.

Madini hupangwa katika vikundi maalum kulingana na kemikali ndani yake, au kulingana na muundo za fuwele ndani yake.

Uchunguzi wa madini unaleta habari nyingi kuhusu miamba na historia ya Dunia. Elimu hiyo inasaidia pia kuelewa nafasi kwa matumizi ya madini tofauti, na kuongoza utafiti kwa kupata madini mbadala au kutengeneza madini kwenye maabara kwa matumizi katika teknolojia.

Wakati mwingine sura au umbo la madini vinaonyesha jinsi yalivyoundwa. Kwa mfano, madini katika miamba ya mgando (igneous rock) yanasaidia kujua umri wa mwamba tangu kuganda (kubadilika kutoka lava kuwa mwamba). Madini makubwa yanamaanisha mwamba uliopozwa polepole (labda chini ya ardhi). Madini madogo humaanisha kuwa mwamba ulipozwa haraka (labda juu ya ardhi, kama kutoka volkeno). Aina za madini katika mwamba pia zinaweza kuonyesha ni mwamba wa aina gani, au kile kilichotokea kwa mwamba tangu kuundwa. Miamba mingi hupewa jina kulingana na aina ya madini iliyonayo.

Wataalamu wa elimu madini huangalia madini katika miamba kwa kutumia lenzi za mkononi, na kwa undani zaidi wakikata mabapa membamba na kuyachungulia chini ya hadubini. Huangalia umbo na ukubwa wa fuwele, na rangi ya madini. Maelezo hayo yanasaidia kujua ni madini gani yanayoangaliwa.

Madini hutumika katika mambo mengi tofauti, kama mapambo ya vito, kilimo, ufinyanzi, kutengeneza metali na mengine.

Tovuti za Nje

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elimu madini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.