Furukombe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 30 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q147403 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 15: Mstari 15:
''[[Ichthyophaga]]'' <small>[[René-Primevère Lesson|Lesson]], 1843</small>
''[[Ichthyophaga]]'' <small>[[René-Primevère Lesson|Lesson]], 1843</small>
}}
}}
'''Furukombe''', '''fukombe''', '''kwazi''', '''yowe''' au '''tai mlasamaki''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] mbua wa [[nusufamilia]] [[Haliaeetinae]] katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Accipitridae]]. Ndege hawa ni baina ya [[tai]] wakubwa kabisa. Uzito wao unatofautiana kutoka kg 2 (furukombe wa Sanford) mpaka 9 (furukombe wa Steller). [[Unyoya|Manyoya]] yao yana rangi ya [[kahawa]] mpaka nyeusi lakini [[kichwa]], [[mkia]], [[kidari]] na [[tumbo]] ni nyeupe kufuatana na [[spishi]]. [[Furukombe wa Madagaska]], wa Sanford na wa Ulaya wana kichwa hudhurungi. Spishi zote zinatokea karibu na [[maji]] ama baridi au ya [[bahari]]. Hula [[samaki]] hasa lakini ndege wengine, [[mzoga|mizoga]] na mara kwa mara [[mnyama|wanyama]] wadogo pia. Hujenga tago lao kwa vijiti juu ya [[mti]] au mwamba. Jike hutaga [[yai|mayai]] 1-3.
'''Furukombe''', '''fukombe''', '''kwazi''', '''yowe''' au '''tai mlasamaki''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] mbuai wa [[nusufamilia]] [[Haliaeetinae]] katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Accipitridae]].
Ndege hao ni baina ya [[tai]] wakubwa kabisa. [[Uzito]] wao unatofautiana kutoka [[kg]] 2 (furukombe wa Sanford) mpaka 9 (furukombe wa Steller).
[[Unyoya|Manyoya]] yao yana [[rangi]] ya [[kahawia]] mpaka [[nyeusi]] lakini [[kichwa]], [[mkia]], [[kidari]] na [[tumbo]] ni [[nyeupe]] kufuatana na [[spishi]]. [[Furukombe wa Madagaska]], wa Sanford na wa [[Ulaya]] wana kichwa [[hudhurungi]].
[[Spishi]] zote zinatokea karibu na [[maji]] ama [[baridi]] ama ya [[bahari]]. Hula [[samaki]] hasa lakini ndege wengine, [[mzoga|mizoga]] na mara kwa mara [[mnyama|wanyama]] wadogo pia.
Hujenga tago lao kwa vijiti juu ya [[mti]] au [[mwamba]]. Jike hutaga [[yai|mayai]] 1-3.


==Spishi za Afrika==
==Spishi za Afrika==

Toleo la sasa la 06:52, 20 Januari 2020

Furukombe
Furukombe wa Afrika
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Accipitriformes (Ndege kama vipanga)
Familia: Accipitridae (Ndege walio na mnasaba na vipanga)
Nusufamilia: Haliaeetinae (Ndege walio na mnasaba na furukombe)
Jenasi: Haliaeetus Savigny, 1809

Ichthyophaga Lesson, 1843

Furukombe, fukombe, kwazi, yowe au tai mlasamaki ni ndege mbuai wa nusufamilia Haliaeetinae katika familia Accipitridae.

Ndege hao ni baina ya tai wakubwa kabisa. Uzito wao unatofautiana kutoka kg 2 (furukombe wa Sanford) mpaka 9 (furukombe wa Steller).

Manyoya yao yana rangi ya kahawia mpaka nyeusi lakini kichwa, mkia, kidari na tumbo ni nyeupe kufuatana na spishi. Furukombe wa Madagaska, wa Sanford na wa Ulaya wana kichwa hudhurungi.

Spishi zote zinatokea karibu na maji ama baridi ama ya bahari. Hula samaki hasa lakini ndege wengine, mizoga na mara kwa mara wanyama wadogo pia.

Hujenga tago lao kwa vijiti juu ya mti au mwamba. Jike hutaga mayai 1-3.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]