Kalisi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19: Mstari 19:
}}
}}


'''Kalisi''' ni [[elementi]] na [[metali ya udongo alikalini]] yenye [[namba atomia]] '''20''' kwenye [[mfumo radidia]] ina [[uzani atomia]] 40.078. Alama yake ni '''Ca'''. Jina lahusiana na neno la [[kilatini]] ''calx'' (mawe ya chokaa).
'''Kalisi''' ni [[elementi]] na [[metali ya udongo alikalini]] yenye [[namba atomia]] '''20''' kwenye [[mfumo radidia]] ina [[uzani atomia]] 40.078. [[Alama]] yake ni '''Ca'''. [[Jina]] linahusiana na [[neno]] la [[Kilatini]] ''calx'' ([[mawe]] ya [[chokaa]]).


== Tabia ==
== Tabia ==
Kalisi ni kati ya elementi zinazopatiikana kwa wingi duniani ikiwa na nafasi ya tano na asilimia 3.39 za ganda la dunia ni kalisi. Ikisafishwa hutokea kama [[metali]] laini yenye rangi ya nyeupe-fedha.
Kalisi ni kati ya elementi zinazopatiikana kwa wingi [[duniani]], ikiwa na nafasi ya [[tano]]: [[asilimia]] 3.39 za [[ganda la dunia]] ni kalisi. Ikisafishwa hutokea kama [[metali]] laini yenye [[rangi]] [[nyeupe]]-[[fedha]].


Inamenyuka rahisi kikemia hivyo haitokei kama elementi tupu lakini kwa kampaundi mbalimbali hasa katika mawe.
Inamenyuka rahisi [[Kemia|kikemia]] hivyo haitokei kama elementi tupu lakini kwa [[kampaundi]] mbalimbali hasa katika mawe.


Unga wa kalisi au vipande vidogo vya metali huungua moto yenye rangi ya njano-nyekundu, unga hata bila kuwashwa kwa kumenyuka hewani tu.
[[Unga]] wa kalisi au vipande vidogo vya metali huungua [[moto]] wenye rangi ya [[njano]]-[[nyekundu]], unga hata bila kuwashwa kwa kumenyuka [[Hewa|hewani]] tu.


Kalisi ni muhimu kwa miili ya wanadamu na wanyama pia kwa mimea kwa sababu inajenga [[mifupa]] na [[meno]]. Ina pia kazi katika mishipa.
Kalisi ni muhimu kwa [[miili]] ya [[wanadamu]] na [[wanyama]], pia kwa [[mimea]], kwa sababu inajenga [[mifupa]] na [[meno]]. Ina pia [[kazi]] katika [[Mshipa|mishipa]].


== Matumizi ==
== Matumizi ==
Kalisi ni muhimu sana katika maisha ya jamii ya kibinadamu. [[Ujenzi]] hutegemea sana kalisi na kampaundi zake. [[Mawe ya chokaa]] yaliwahi kutumiwa kwa ujenzi wa nyumba tangu miaka maelfu.
Kalisi ni muhimu sana katika [[maisha]] ya [[jamii]]. [[Ujenzi]] hutegemea sana kalisi na kampaundi zake. [[Mawe ya chokaa]] yaliwahi kutumiwa kwa ujenzi wa [[nyumba]] tangu miaka [[elfu]] kadhaa.


Kampaundi za kalisi ni pia msingi wa [[saruji]] na hivyo wa ujenzi wa kisasa. [[Chokaa]] ni kiungo cha lazima wakati wa kutengeneza [[feleji]].
Kampaundi za kalisi ni pia [[msingi]] wa [[saruji]] na hivyo wa ujenzi wa kisasa. [[Chokaa]] ni kiungo cha lazima wakati wa kutengeneza [[feleji]].


Salfati ya kalisi (Ca[SO4] • 2 H2O) ni [[jasi]].
Salfati ya kalisi (Ca[SO4] • 2 H2O) ni [[jasi]].

Pitio la 07:48, 17 Januari 2020


Kalisi
Jina la Elementi Kalisi
Alama Ca
Namba atomia 20
Mfululizo safu metali ya udongo alikalini
Uzani atomia 40.078
Densiti 1.55
Ugumu (Mohs) 1.75
Kiwango cha kuyeyuka 1115 K (842 °C)
Kiwango cha kuchemka 1757 K (1484 °C)
Asilimia za ganda la dunia 3.39 %
Hali maada mango

Kalisi ni elementi na metali ya udongo alikalini yenye namba atomia 20 kwenye mfumo radidia ina uzani atomia 40.078. Alama yake ni Ca. Jina linahusiana na neno la Kilatini calx (mawe ya chokaa).

Tabia

Kalisi ni kati ya elementi zinazopatiikana kwa wingi duniani, ikiwa na nafasi ya tano: asilimia 3.39 za ganda la dunia ni kalisi. Ikisafishwa hutokea kama metali laini yenye rangi nyeupe-fedha.

Inamenyuka rahisi kikemia hivyo haitokei kama elementi tupu lakini kwa kampaundi mbalimbali hasa katika mawe.

Unga wa kalisi au vipande vidogo vya metali huungua moto wenye rangi ya njano-nyekundu, unga hata bila kuwashwa kwa kumenyuka hewani tu.

Kalisi ni muhimu kwa miili ya wanadamu na wanyama, pia kwa mimea, kwa sababu inajenga mifupa na meno. Ina pia kazi katika mishipa.

Matumizi

Kalisi ni muhimu sana katika maisha ya jamii. Ujenzi hutegemea sana kalisi na kampaundi zake. Mawe ya chokaa yaliwahi kutumiwa kwa ujenzi wa nyumba tangu miaka elfu kadhaa.

Kampaundi za kalisi ni pia msingi wa saruji na hivyo wa ujenzi wa kisasa. Chokaa ni kiungo cha lazima wakati wa kutengeneza feleji.

Salfati ya kalisi (Ca[SO4] • 2 H2O) ni jasi.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kalisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.