Tofauti kati ya marekesbisho "Jeshi"

Jump to navigation Jump to search
61 bytes removed ,  miezi 8 iliyopita
no edit summary
 
[[Picha:Jeshi ya Mahdi ya Sudan.jpg|thumb|Jeshi la [[Mahdi]] yawa [[Sudan]].]]
'''Jeshi''' ni jumla ya [[watu]] wanaopewa [[mamlaka]] ya kutumia nguvu ya [[silaha]] kutetea nchi kwa niaba ya [[dola]] au kutekeleza maagizo ya [[serikali]] dhidi ya maadui wa nje kwa nguvu ya silaha.
 
[[Neno]] latumikalinatumika hasa kwa kutaja [[jeshi la ardhi]], [[jeshi la wanamaji]] na [[jeshi la anga]].
 
==Kazi ya jeshi==
*kulinda nchi dhidi ya maadui wa nje
*kutetea nchi dhidi ya mashambulizi kutoka nje au
* pia kushambulia nchi nyingine kama hatua hii imeamriwa na serikali halali.
 
Kusudi hilihilo shididhidi ya hatari naya nje nindiyo tofauti kuu na [[kazi]] ya [[polisi]] ambayo ni mkono mwingine wa serikali ya taifa mwenyewenye silaha. hataHata hivyo kuna nchi ambako tofauti kati ya jeshi na polisi si wazi vile, hasa kuna nchi nyingi ambako jeshi limepewa [[wajibu]] wa ndani ya taifa au ambako wanajeshi walichukua mamlaka mkononi[[mikononi]] mwao kwa nguvu ya silaha zao.
 
Katika nchi mbalimbali kuna vikosi vinavyotekeleza shughuli ndani ya taifa lakini vina silaha sawa na sehemu za jeshi na wakati mwingine vinahesabiwa kama sehemu ya jeshi. Kwa mfano vikosi vinavyolingana na [[FFU]] ya [[Tanzania]] vinaitwa [[gendarmerie]] huko [[Ufaransa]] na nchi nyingi za [[Afrika Magharibi]] au [[carabinieri]] huko [[Italia]] na kule vinahesabiwa kama mkono wa jeshi ingawa kazi yao ni ya ndani ya nchi.
 
Hali ya jeshi vitani husimamiwa na [[sheria ya kimataifa ya vita]] jinsi ilivyoundwa katika [[Mkataba|mikataba]] mbalimbali ya kimataifa. [[Sheria]] hiihiyo inalenga kulinda watu [[raia]] wakati wa [[vita]] na pia [[haki]] za [[wanajeshi]] wakikamatwa na adui. Sheria inadai ya kwamba wanajeshi wote wanahitaji
* kuwa na [[sare]] rasmi inayoonekana na kuwatofautisha na watu raia
* kuwa chini ya mamlaka rasmi inayoeleweka na kuwajibika kwa serikali yao
* kubeba silaha zao wazi
* kuitikiakutimiza masharti ya sheria ya kimataifa
 
Wanajeshi wanafuata utaratibu huuhuo wanalindwa na sheria inayokataza pia watu raia kubeba na kutumia silaha na kushiriki katika mapigano. Katika vita nyingi sheria ilipuuzwa lakini kuna mifano kadhaa katika [[karne ya 20]] ambakoambapo [[jinai za vitani]] zilifuatiliwa kwa mfano kwenye [[Kesi za Nuremberg]] kuhusu jinai za vitani upande wa [[Ujerumani]] na [[kesi]] zilizofikishwa mbele ya [[Mahakama ya Kimataifa ya Jinai]] tangu [[mwaka]] [[2000]].
 
==Jeshi la ardhi==
Jeshi la ardhi lina [[kituo]] ama [[kambi]] ambayo kambi hii yaweza kulinda kundimakundi ya Jeshi, divisheni ama umma wajeshiwa jeshi. Kukitokea vita, Jeshi huwa wakipeleka divisheni na kundimakundi zaya kijeshi kwa vipimo kulingana na vita na mbinu za kusukuma ama kushinda adui kwa [[vita]]. Na pia ratili ya vita ikiwapendukia, Jeshi hupeleka [[wanajeshi pulikiza]] ili kusukuma adui kabisa ama kumshinda adui.
 
Jeshi la ardhi lina [[kituo]] ama [[kambi]] ambayo kambi hii yaweza kulinda kundi ya Jeshi, divisheni ama umma wajeshi. Kukitokea vita, Jeshi huwa wakipeleka divisheni na kundi za kijeshi kwa vipimo kulingana na vita na mbinu za kusukuma ama kushinda adui kwa [[vita]]. Na pia ratili ya vita ikiwapendukia, Jeshi hupeleka [[wanajeshi pulikiza]] ili kusukuma adui kabisa ama kumshinda adui.
 
== Jeshi la taifa ==
Jeshi la Taifa ni chombo kilichoanzishwa kisheria chenye silaha na askari wenye mafunzo ya kivita amabao kazi yao ni kupambana kivita kulinda ardhi ya nchi husika dhidi ya uvamizi kutoka nje. Nchi huwa na jeshi moja la kulinda mipaka yake dhidi ya uchokozi kutoka nje, lakini pia huwa na majeshi 'Usu' kadhaaa kwaajili ya kulinda usalaama wa ndani. kwa mfano; majeshi ya nchi ni kama [[Jeshi la Uganda, UPDF, Jeshi la Tanzania TPDF nk|Jeshi la Uganda UPDF, Jeshi la Tanzania TPDF nk]]. Majeshi Usu ni kama Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na TANAPA.
 
Jeshi la Taifa ni chombo kilichoanzishwa kisheria chenye silaha na askari wenye mafunzo ya kivita amabao kazi yao ni kupambana kivita kulinda ardhi ya nchi husika dhidi ya uvamizi kutoka nje. Nchi huwa na jeshi moja la kulinda mipaka yake dhidi ya uchokozi kutoka nje, lakini pia huwa na majeshi 'Usu' kadhaaa kwaajili ya kulinda usalaama wa ndani. kwa mfano; majeshi ya nchi ni kama [[Jeshi la Uganda, UPDF, Jeshi la Tanzania TPDF nk|Jeshi la Uganda UPDF, Jeshi la Tanzania TPDF nk]]. Majeshi Usu ni kama Polisi,Magereza,Uhamiaji, Zimamoto na TANAPA.
 
Shughuli nyingi za majeshi hutofautiana kulingana na kitengo husika cha jeshi, kwa mfano jeshi la nchi kavu,Jeshi la Anga na Jeshi la Majini, haya ndiyo matawi makuu matatu ya jeshi . Kwa historia, Jeshi la anga lilikuwa pamoja na Jeshi la ardhini, hasa kwa historia ya [[Uchina]] ama [[Jeshi la ukombozi wa umma wa Uchina]] ilichanganya (jeshi la ardhi, jeshi la majini, jeshi la anga, divisheni za makombora na usayari) kwa tawi moja.
 
== Shurutisho la jeshi ==
 
Jeshi laweza kuwa kubwa kama chama, [[chama cha Jeshi]] ([[Shurutisho la Jeshi|Shurutisho]]) ambalo lina makundi mengi zaidi ya [[askari]]. Jeshi tofauti hujigawa kulingana na utamaduni wao — hasa Marekani ([[Jeshi la kwanza la Marekani]]). Kwa [[Jeshi la Uingereza]] Jeshi kwa shurutisho ni "Jeshi la kwanza", na Marekani ni "divisheni ya kwanza".
 
([[Jeshi Kikundi]] ama [[kinara|Jeshi kinara]]) ni shurutisho kubwa zaidi kulingana na umma, utatuzi na ushirikana.
 
[[MuunganoJeshi wala Sovieti|SovietiUrusi]] wakati wa [[JeshiMuungano lawa UrusiSovieti]], lilikuwa limegawanywa kwa [[kundi za askari]] ambazo zilikuwa chini ya Jeshi shurutisho vitani. Lakini wakati wa amani kundi hizi zilikuwa chini ya [[tarafa ya Jeshi]].
 
==Ona pia==
* [[Orodha ya Jeshi]]
* [[Orodha ya Jeshi kwa Jina]]
* [[Orodha ya Jeshi kwa nambari]]
* [[Orodha ya nchi bila jeshi]]
* [[Vita]]
* [[Historia ya Jeshi]]

Urambazaji