Kimalay : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kimalay''' ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Malaysia]], [[Indonesia]] na [[Singapuri]] inayozungumzwa na [[Wamalay]]. Ni lugha ya mawasiliano kwa wengi, tofauti na [[Kimalay Sanifu]] ambayo ni [[lugha rasmi]] nchini Malaysia. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimalay nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu milioni kumi na nusu. Pia kuna wasemaji milioni 4.91 nchini Indonesia (2000) na wasemaji 414,000 nchini Singapuri (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay iko katika kundi la Kimalayiki.
'''Kimalay''' ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Malaysia]], [[Indonesia]] na [[Singapuri]] inayozungumzwa na [[Wamalay]]. Ni [[lugha ya mawasiliano]] kwa wengi, tofauti na [[Kimalay Sanifu]] ambayo ni [[lugha rasmi]] nchini Malaysia.
Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimalay nchini Malaysia ilihesabiwa kuwa [[watu]] [[milioni]] [[kumi]] na [[nusu]]. Pia kuna wasemaji milioni 4.91 nchini Indonesia (2000) na wasemaji 414,000 nchini Singapuri (2010).
Kufuatana na [[uainishaji wa lugha]] wa ndani zaidi, Kimalay iko katika [[kundi]] la [[Kimalayiki]].


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
Mstari 13: Mstari 17:
[[Jamii:Lugha za Indonesia]]
[[Jamii:Lugha za Indonesia]]
[[Jamii:Lugha za Singapuri]]
[[Jamii:Lugha za Singapuri]]
[[Jamii:Lugha za Kiaustronesia]]

Pitio la 07:20, 13 Januari 2020

Kimalay ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia, Indonesia na Singapuri inayozungumzwa na Wamalay. Ni lugha ya mawasiliano kwa wengi, tofauti na Kimalay Sanifu ambayo ni lugha rasmi nchini Malaysia.

Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimalay nchini Malaysia ilihesabiwa kuwa watu milioni kumi na nusu. Pia kuna wasemaji milioni 4.91 nchini Indonesia (2000) na wasemaji 414,000 nchini Singapuri (2010).

Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kimalay iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.