Lugha za Kiaustronesia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Replacing Langues-autronesiennes.png with File:Langues_austronésiennes.png (by CommonsDelinker because: File renamed: Criterion 3 (obvious error) · Correction of the spelling of the name.).
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Langues austronésiennes.png|thumbnail|Uenezaji wa lugha za Kiaustronesia duniani]]
[[Picha:Langues austronésiennes.png|thumbnail|Uenezaji wa lugha za Kiaustronesia duniani]]
'''Lugha za Kiaustronesia''' ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika visiwa vya Pasifiki, vya Asia ya Kusini-Mashariki na kisiwa cha [[Madagaska]]. Katika familia hiyo kuna lugha zaidi ya 1200 zenye wasemaji milioni 386. Lugha ya Kiaustronesia yenye wasemaji wengi mno ni [[Kimalay]] ambayo huzungumzwa na watu milioni 180.
'''Lugha za Kiaustronesia''' ni familia ya [[lugha]] ambazo huzungumzwa katika [[visiwa]] vya [[Pasifiki]], vya [[Asia ya Kusini-Mashariki]] na kisiwa cha [[Madagaska]]. Katika familia hiyo kuna lugha zaidi ya 1200 zenye wasemaji [[milioni]] 386.
Lugha ya Kiaustronesia yenye wasemaji wengi zaidi ni [[Kimalay]] ambayo huzungumzwa na watu milioni 180.


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
Mstari 8: Mstari 10:


{{DEFAULTSORT:Austronesia}}
{{DEFAULTSORT:Austronesia}}
[[Jamii:Lugha]]
[[Jamii:Lugha za Kiaustronesia]]
[[Jamii:Makundi ya lugha]]
[[Jamii:Makundi ya lugha]]

Toleo la sasa la 07:16, 13 Januari 2020

Uenezaji wa lugha za Kiaustronesia duniani

Lugha za Kiaustronesia ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika visiwa vya Pasifiki, vya Asia ya Kusini-Mashariki na kisiwa cha Madagaska. Katika familia hiyo kuna lugha zaidi ya 1200 zenye wasemaji milioni 386.

Lugha ya Kiaustronesia yenye wasemaji wengi zaidi ni Kimalay ambayo huzungumzwa na watu milioni 180.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiaustronesia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.