Tofauti kati ya marekesbisho "Luangwa (mto)"

Jump to navigation Jump to search
76 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
No edit summary
Kiasi cha [[maji]] ndani ya mto hubadilika sana kufuatana na [[majira]]. Wakati wa [[ukame]] mto una maji kidogo na mahali pengi unapitika kwa [[miguu]]. Lakini kati ya [[Desemba]] hadi [[Machi]] wakati wa [[mvua]] katika [[milima]] ya chanzo chake na cha [[tawimto|matawimto]] kuna maji mengi. Kila mwaka mwendo wa mto unaweza kubadilika kiasi kutokana na nguvu ya maji. Hii ni sababu mojawapo ya kwamba hakuna [[watu]] wengi wanaokaa kando ya mto huu.
 
==Tazama pia==
* [[Mito mirefu ya Afrika]]
* [[Orodha ya mito ya Msumbiji]]
{{Mbegu-jio-Afrika}}
[[Jamii:Mito ya Afrika]]

Urambazaji