Kilima : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Heath_Mynd.jpg|right|thumb|300x300px| Vilima ]]
[[Picha:Heath_Mynd.jpg|right|thumb|300x300px|Vilima.]]
'''Kilima''' ni mwinuko wa ardhi ambao uko juu kuliko eneo linalokizunguka lakini ni ndogo kuliko [[mlima]] . Vilima ni miinuko ya chini zaidi kuliko milima. Kwa lugha nyingine ni mlima mdogo. Uso wa kilima ni imara zaidi kuliko ile ya [[tuta la mchanga]].
'''Kilima''' ni mwinuko wa ardhi ambao uko juu kuliko eneo linalouzunguka lakini ni mdogo kuliko ule wa [[mlima]]. Vilima ni miinuko ya chini kuliko milima. Kwa [[lugha]] nyingine ni mlima mdogo, kama [[Kiswahili]] kinavyoonyesha wazi. Uso wa kilima ni imara kuliko ile ya [[tuta la mchanga]].


Hakuna ufafanuzi kamili kuhusu tofauti kati ya kilima na mlima unaokubaliwa kote. Katika sehemu za tambarare mwinuko wa mita mia kadhaa unaweza kuitwa "mlima", kinyume chake katika sehemu za milima mirefu mwinuko wa mita 1000 unaweza kuitwa "kilima", mfano miinuko ya Ngong karibu na [[Nairobi]] huitwa "[[Ngong Hills]]" ingawa inafikia kimo cha zaidi ya mita 2,000 juu ya usawa wa bahari. Kwa jumla kilima hutazamiwa kuwa kidogo na bila mtelemko mkali kama mlima kamili.
Hakuna [[ufafanuzi]] kamili unaokubaliwa kote kuhusu tofauti kati ya kilima na mlima. Katika sehemu za [[tambarare]] mwinuko wa [[mita]] [[mia]] kadhaa unaweza kuitwa "mlima", kinyume chake katika sehemu za milima mirefu mwinuko wa mita 1000 unaweza kuitwa "kilima". Kwa mfano, miinuko ya Ngong karibu na [[Nairobi]] huitwa "[[Ngong Hills]]" ingawa inafikia [[kimo]] cha zaidi ya mita 2,000 juu ya [[usawa wa bahari]]. Kwa jumla kilima hutazamwa kuwa kidogo na bila mtelemko mkali kama mlima kamili.


Asili ya vilima mara nyingi ni sawa na asili ya milima; kunjamano ya ganda la Dunia au vilima kama mabaki ya miinuko mikubwa zaidi, mfano kutokana na mmomonyoko wa milima mikubwa.
[[Asili]] ya vilima mara nyingi ni sawa na asili ya milima; kunjamano ya [[ganda la Dunia]] au vilima kama mabaki ya miinuko mirefu zaidi, kwa mfano kutokana na [[mmomonyoko]] wa milima mikubwa.


[[jamii:milima]]
[[jamii:milima]]

Toleo la sasa la 08:56, 1 Januari 2020

Vilima.

Kilima ni mwinuko wa ardhi ambao uko juu kuliko eneo linalouzunguka lakini ni mdogo kuliko ule wa mlima. Vilima ni miinuko ya chini kuliko milima. Kwa lugha nyingine ni mlima mdogo, kama Kiswahili kinavyoonyesha wazi. Uso wa kilima ni imara kuliko ile ya tuta la mchanga.

Hakuna ufafanuzi kamili unaokubaliwa kote kuhusu tofauti kati ya kilima na mlima. Katika sehemu za tambarare mwinuko wa mita mia kadhaa unaweza kuitwa "mlima", kinyume chake katika sehemu za milima mirefu mwinuko wa mita 1000 unaweza kuitwa "kilima". Kwa mfano, miinuko ya Ngong karibu na Nairobi huitwa "Ngong Hills" ingawa inafikia kimo cha zaidi ya mita 2,000 juu ya usawa wa bahari. Kwa jumla kilima hutazamwa kuwa kidogo na bila mtelemko mkali kama mlima kamili.

Asili ya vilima mara nyingi ni sawa na asili ya milima; kunjamano ya ganda la Dunia au vilima kama mabaki ya miinuko mirefu zaidi, kwa mfano kutokana na mmomonyoko wa milima mikubwa.