Urujuanimno : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Nuru inayoonekana katika spektra.jpg|450px|thumbnail|Urujuanimno upande wa lukoka fupi zaidi ya spektra inayoonekana]]
[[Picha:Nuru inayoonekana katika spektra.jpg|450px|thumbnail|Urujuanimno upande wa lukoka fupi zaidi ya spektra inayoonekana]]
'''Urujuanimno''' ([[ing.]] ''ultraviolet'', kifupi '''UV''') ni aina ya [[nuru]] isiyoonekana kwa binadamu lakini kwa wanyama mbalimbali. Kwa lugha nyingine na makini zaidi ni sehemu ya [[mnururisho wa sumakuumeme]] mwenye [[lukoka]] (''wavelength'') baina ya [[nanomita]] 400 nm hadi 10 nm, ambayo ni lukoka fupi kuliko [[urujuani]] inayoonekana lakini ndefu zaidi kuliko [[eksirei]].
'''Urujuanimno''' (kwa [[Kiingereza]]: ''ultraviolet'', [[kifupi]]: '''UV''') ni aina ya [[nuru]] isiyoonekana na [[binadamu]] ila na [[wanyama]] mbalimbali. Kwa [[lugha]] nyingine na makini zaidi ni sehemu ya [[mnururisho wa sumakuumeme]] wenye [[lukoka]] (''wavelength'') baina ya [[nanomita]] 400 hadi 10, ambayo ni lukoka fupi kuliko [[urujuani]] inayoonekana lakini ndefu kuliko [[eksirei]].


Wanyama wengi pamoja na wadudu kadhaa, mamba, ndege wengine wadogo wanaweza kutambua urujuanimno.
Wanyama wengi pamoja na [[wadudu]] kadhaa, [[mamba]], [[Ndege (mnyama)|ndege]] wengine wadogo wanaweza kutambua urujuanimno.
Mnururisho wa urujuanimno unafika duniani kama sehemu ya nuru ya jua.
Mnururisho wa urujuanimno unafika [[duniani]] kama sehemu ya nuru ya [[jua]].


==Mnururisho wa urujuanimno na afya ya watu==
==Mnururisho wa urujuanimno na afya ya watu==
Viwango vikubwa vya mnururisho wa urujuanimno vinaweza kusababisha uharibifu kwa [[seli]] za binadamu. [[Ngozi]] ya binadamu inajenga rangi ya [[melanini]] kama kinga dhidi yake. [[Ozoni|Tabaka ya ozoni]] katika [[angahewa]] ya Dunia inachuja sehemu ya mnururisho huu lakini kwenye maeneo ya [[ikweta]] kiwango kinachopita hadi uso wa dunia ni kubwa zaidi.
Viwango vikubwa vya mnururisho wa urujuanimno vinaweza kusababisha uharibifu kwa [[seli]] za binadamu. [[Ngozi]] ya binadamu inajenga [[rangi]] ya [[melanini]] kama kinga dhidi yake. [[Ozoni|Tabaka la ozoni]] katika [[angahewa]] ya [[Dunia]] inachuja sehemu ya mnururisho huo lakini kwenye maeneo ya [[ikweta]] kiwango kinachofika hadi uso wa dunia ni kikubwa zaidi.


Hapo ni sababu ya kwamba watu katika maeneo karibu na ikweta wana rangi nyeusinyeusi zaidi. Watu wanaoishi mbali na ikweta hawahitaji kiwango hiki cha kinga dhidi ya mnururisho wa urujuanimno na kwa sababu hiyo watu wenye rangi nyeupe zaidi waliweza kuendelea huko kaskazini. Pale ambako watu kutoka sehemu za kaskazini walihamia katika maeneo ya ikweta wana hatari kubwa zaidi kupata kansa ya ngozi na hii inaonekana katika asilimia kubwa ya kansa hii kati ya wazungu wa [[Australia]].
Ndiyo sababu ya kwamba watu katika maeneo karibu na ikweta wana rangi [[nyeusi]] zaidi. Watu wanaoishi mbali na ikweta hawahitaji kiwango hicho cha kinga dhidi ya mnururisho wa urujuanimno na kwa sababu hiyo watu wenye rangi [[nyeupe]] zaidi waliweza kuendelea huko [[kaskazini]]. Pale ambako watu kutoka sehemu za kaskazini walihamia katika maeneo ya ikweta wana hatari kubwa zaidi ya kupata [[kansa ya ngozi]] na hii inaonekana katika [[asilimia]] kubwa ya [[kansa]] hiyo kati ya Wazungu wa [[Australia]].


Asilimia kubwa ya [[kansa ya ngozi]] kati ya watu walioathiriwa na [[zeruzeru]] katika Afrika ina sababu hiyohiyo.
Asilimia kubwa ya [[kansa ya ngozi]] kati ya watu walioathiriwa na [[uzeruzeru]] katika [[Afrika]] ina sababu hiyohiyo.


[[Uga sumaku wa Dunia|Ugasumaku wa Dunia]] hukengeusha kiasi kikubwa cha mnururisho wa urujuanimno pamoja [[Upepo jua|upepo Jua]] kutoka angahewa na kwa njia hii unakinga angahewa yetu.
[[Uga sumaku ya Dunia]] hukengeusha kiasi kikubwa cha mnururisho wa urujuanimno pamoja na [[Upepo jua|upepo Jua]] kutoka [[angahewa]] na kwa njia hiyo inakinga angahewa yetu.

==Viungo vya Nje==
* [http://missionscience.nasa.gov/ems/10_ultravioletwaves.html Ultraviolet light from our sun ([[NASA]])]
* [http://www.wisegeek.org/what-is-uv-light.htm#didyouknowout What is ultraviolet light?]


==Kujisomea==
==Kujisomea==
{{Commons category|Ultraviolet light}}
{{Wiktionary}}
* {{Cite journal
* {{Cite journal
| last = Hu
| last = Hu
Mstari 63: Mstari 57:
}}
}}


==Viungo vya Nje==

{{Commons category|Ultraviolet light}}
{{Wiktionary}}
* [http://missionscience.nasa.gov/ems/10_ultravioletwaves.html Ultraviolet light from our sun ([[NASA]])]
* [http://www.wisegeek.org/what-is-uv-light.htm#didyouknowout What is ultraviolet light?]
{{mbegu-sayansi}}
[[jamii:Fizikia]]
[[jamii:Fizikia]]

Pitio la 10:08, 30 Desemba 2019

Urujuanimno upande wa lukoka fupi zaidi ya spektra inayoonekana

Urujuanimno (kwa Kiingereza: ultraviolet, kifupi: UV) ni aina ya nuru isiyoonekana na binadamu ila na wanyama mbalimbali. Kwa lugha nyingine na makini zaidi ni sehemu ya mnururisho wa sumakuumeme wenye lukoka (wavelength) baina ya nanomita 400 hadi 10, ambayo ni lukoka fupi kuliko urujuani inayoonekana lakini ndefu kuliko eksirei.

Wanyama wengi pamoja na wadudu kadhaa, mamba, ndege wengine wadogo wanaweza kutambua urujuanimno. Mnururisho wa urujuanimno unafika duniani kama sehemu ya nuru ya jua.

Mnururisho wa urujuanimno na afya ya watu

Viwango vikubwa vya mnururisho wa urujuanimno vinaweza kusababisha uharibifu kwa seli za binadamu. Ngozi ya binadamu inajenga rangi ya melanini kama kinga dhidi yake. Tabaka la ozoni katika angahewa ya Dunia inachuja sehemu ya mnururisho huo lakini kwenye maeneo ya ikweta kiwango kinachofika hadi uso wa dunia ni kikubwa zaidi.

Ndiyo sababu ya kwamba watu katika maeneo karibu na ikweta wana rangi nyeusi zaidi. Watu wanaoishi mbali na ikweta hawahitaji kiwango hicho cha kinga dhidi ya mnururisho wa urujuanimno na kwa sababu hiyo watu wenye rangi nyeupe zaidi waliweza kuendelea huko kaskazini. Pale ambako watu kutoka sehemu za kaskazini walihamia katika maeneo ya ikweta wana hatari kubwa zaidi ya kupata kansa ya ngozi na hii inaonekana katika asilimia kubwa ya kansa hiyo kati ya Wazungu wa Australia.

Asilimia kubwa ya kansa ya ngozi kati ya watu walioathiriwa na uzeruzeru katika Afrika ina sababu hiyohiyo.

Uga sumaku ya Dunia hukengeusha kiasi kikubwa cha mnururisho wa urujuanimno pamoja na upepo Jua kutoka angahewa na kwa njia hiyo inakinga angahewa yetu.

Kujisomea

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Urujuanimno kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.