Mfumo wa neva : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Gray797.png|thumb|right|250px|Mfumo wa neva ulivyoenea mwilini mwa [[binadamu]].]]
[[File:Gray797.png|thumb|right|250px|Mfumo wa neva ulivyoenea mwilini mwa [[binadamu]].]]
'''Mfumo wa neva''' ni sehemu ya [[mwili]] wa [[wanyama]] ambayo inaratibu matendo yake ya hiari na yasiyo ya hiari na kutuma taarifa kati ya viungo mbalimbali.
'''Mfumo wa neva''' ni sehemu ya [[mwili]] wa [[wanyama]] ambayo inaratibu matendo yake ya [[hiari]] na yasiyo ya hiari na kutuma [[taarifa]] kati ya viungo mbalimbali.


Kwa mara ya kwanza [[tishu]] za [[neva]] zilitokea katika [[wadudu]] wa [[jamii]] ya [[minyoo]] ([[Ediacara biota]]) miaka milioni 550 hadi 600 hivi iliyopita.
Kwa mara ya kwanza [[tishu]] za [[neva]] zilitokea katika [[wadudu]] wa [[jamii]] ya [[minyoo]] ([[Ediacara biota]]) miaka [[milioni]] 550 hadi 600 hivi iliyopita.


[[Spishi]] nyingi za wanyama zina sehemu kuu mbili, sehemu ya kati ya neva na sehemu ya pembeni. Sehemu ya kati ya neva inajumuisha [[ubongo]] na [[mrija]] wa [[uti wa mgongo]] na sehemu ya pembeni inajumuisha neva zilizofungwa kwenye [[kambabando]] zilizounganishwa kwenye sehemu ya kati ya neva na sehemu nyingine za mwili.Sehemu ya kati ya neva hupeleka taarifa kutoka kwenye chanzo cha taarifa kupitia [[uti wa mgongo]] mpaka kwenye neva za [[ubongo]].Na pia sehemu zingine za mwili zina neva ambazo hupeleka taarifa.
[[Spishi]] nyingi za wanyama zina sehemu kuu mbili, sehemu ya kati ya neva na sehemu ya pembeni. Sehemu ya kati ya neva inajumuisha [[ubongo]] na [[mrija]] wa [[uti wa mgongo]] na sehemu ya pembeni inajumuisha neva zilizofungwa kwenye [[kambabando]] zilizounganishwa kwenye sehemu ya kati ya neva na sehemu nyingine za mwili.Sehemu ya kati ya neva hupeleka taarifa kutoka kwenye chanzo cha taarifa kupitia [[uti wa mgongo]] mpaka kwenye neva za [[ubongo]]. Pia sehemu nyingine za mwili zina neva ambazo hupeleka taarifa.


{{mbegu-anatomia}}
{{mbegu-anatomia}}

Toleo la sasa la 11:33, 28 Desemba 2019

Mfumo wa neva ulivyoenea mwilini mwa binadamu.

Mfumo wa neva ni sehemu ya mwili wa wanyama ambayo inaratibu matendo yake ya hiari na yasiyo ya hiari na kutuma taarifa kati ya viungo mbalimbali.

Kwa mara ya kwanza tishu za neva zilitokea katika wadudu wa jamii ya minyoo (Ediacara biota) miaka milioni 550 hadi 600 hivi iliyopita.

Spishi nyingi za wanyama zina sehemu kuu mbili, sehemu ya kati ya neva na sehemu ya pembeni. Sehemu ya kati ya neva inajumuisha ubongo na mrija wa uti wa mgongo na sehemu ya pembeni inajumuisha neva zilizofungwa kwenye kambabando zilizounganishwa kwenye sehemu ya kati ya neva na sehemu nyingine za mwili.Sehemu ya kati ya neva hupeleka taarifa kutoka kwenye chanzo cha taarifa kupitia uti wa mgongo mpaka kwenye neva za ubongo. Pia sehemu nyingine za mwili zina neva ambazo hupeleka taarifa.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mfumo wa neva kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.