Nyuroni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Disegno neurone 2.jpg|alt=Neuroni|thumb|239x239px|Nyuroni.]]
[[Picha:Disegno neurone 2.jpg|alt=Neuroni|thumb|239x239px|Nyuroni.]]
'''NYuroni''' ni [[seli]] zinazobeba msukumo wa [[umeme]]. Ndiyo vitengo vya msingi vya [[mfumo wa neva]] na sehemu yake muhimu ni [[ubongo]].
'''Nyuroni''' ni [[seli]] zinazobeba msukumo wa [[umeme]]. Ndiyo vitengo vya msingi vya [[mfumo wa neva]] na sehemu yake muhimu ni [[ubongo]].


Kila nYuroni hufanywa na [[kiini]] cha seli (pia huitwa soma), [[chembe]] za ubongo na [[aksoni]]. Chembe za ubongo na aksoni zipo katika muundo wa [[nyuzi]].
Kila nyuroni hufanywa na [[kiini]] cha seli (pia huitwa soma), [[chembe]] za ubongo na [[aksoni]]. Chembe za ubongo na aksoni zipo katika muundo wa [[nyuzi]].


Kuna takriban nyuroni [[bilioni]] 86 katika ubongo wa [[binadamu]], ambazo zinajumuisha karibu 10[[%]] ya seli zote za ubongo.
Kuna takriban nyuroni [[bilioni]] 86 katika ubongo wa [[binadamu]], ambazo zinajumuisha karibu 10[[%]] ya seli zote za ubongo.

Pitio la 11:31, 28 Desemba 2019

Neuroni
Nyuroni.

Nyuroni ni seli zinazobeba msukumo wa umeme. Ndiyo vitengo vya msingi vya mfumo wa neva na sehemu yake muhimu ni ubongo.

Kila nyuroni hufanywa na kiini cha seli (pia huitwa soma), chembe za ubongo na aksoni. Chembe za ubongo na aksoni zipo katika muundo wa nyuzi.

Kuna takriban nyuroni bilioni 86 katika ubongo wa binadamu, ambazo zinajumuisha karibu 10% ya seli zote za ubongo.

Nyuroni hutumiwa na seli za gliali na astrosaiti.

Nyuroni huunganishwa kwa kila tishu moja.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyuroni kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.