Tabakamwamba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Earth-cutaway-schematic-numbered.svg|thumb|350px|Muundo wa [[Dunia]]: 1: Ganda la Dunia (kibahari 1a na kibara 1b unene km 0 hadi 80); 2: Koti la Dunia; 3: Kiini cha Dunia; 3a: Kiini cha nje (kiowevu); 3b: Kiini cha ndani (thabiti); 4: Tabakamwamba (ganda pamoja na sehemu ya juu ya koti); 5: Asthenosphere.]]
[[Picha:Mabamba gandunia (tectonic plates).png|right|thumb|350px|Mabamba gandunia.]]
'''Tabakamwamba''' (kwa [[Kiingereza]] ''lithosphere'')<ref>IPA: lith'usfēr, kutoka maneno ya [[Kigiriki]] λίθος ''líthos'' (jiwe, mwamba) na σφαίρα ''sfaira'' (tufe, tabaka)</ref> ni sehemu thabiti ya nje ya [[sayari]] ya [[Dunia]]. Hiyo inamaanisha [[ganda la Dunia]], pamoja na chini yake sehemu ya juu ya "koti la dunia". Tabakamwamba linakaa juu ya sehemu [[moto]] na laini ya ndani zaidi ya koti la Dunia.


Kwenye mpaka kati ya tabakamwamba na koti lenyewe liko tabaka kasiduni (ing. ''asthenosphere'') ambayo ni nyumbufu kiasi.
[[Picha:Earth-cutaway-schematic-numbered.svg|thumb|350px| Muundo wa [[Dunia]]: 1: Ganda la Dunia (kibahari 1a na kibara 1b unene km 0 hadi 80); 2: Koti ya Dunia ; 3: Kiini cha Dunia; 3a: Kiini cha nje (kiowevu); 3b: Kiini cha ndani (thabiti); 4: Tabakamwamba (ganda pamoja na sehemu ya juu ya koti); 5: Asthenosphere]]
[[Picha:Mabamba gandunia (tectonic plates).png|right|thumb|350px|Mabamba gandunia]]
'''Tabakamwamba''' (ing. ''lithosphere'')<ref>IPA: lith'usfēr,kutoka maneno ya [[Kigiriki]] λίθος ''líthos'' (jiwe, mwamba) na σφαίρα ''sfaira'' (tufe, tabaka)</ref> ni sehemu thabiti ya nje ya [[sayari]] ya Dunia. Hiyo inamaanisha [[ganda la Dunia]], pamoja na chini yake sehemu ya juu ya "koti ya dunia". Tabakamwamba inakaa juu ya sehemu moto na laini ya ndani zaidi ya koti ya Dunia.


Tabakamwamba linafanywa na [[miamba]] imara, tofauti na sehemu za ndani zaidi ya Dunia ambako mwamba na [[madini]] yote vinapatikana kwa hali nyumbufu au [[giligili]] kutokana na [[joto]] kali na [[shinikizo]] kubwa.
Kwenye mpaka kati ya tabakamwamba na koti yenyewe iko tabaka kasiduni (ing. asthenosphere) ambayo ni nyumbufu kiasi.


Eneo la tabakamwamba linagawiwa kwa vipande vikubwa ambavyo vinaelea juu ya sehemu moto za ndani. Vipande hivyo ni [[Bamba la gandunia|mabamba]] ya [[ganda la Dunia]] au kwa kifupi [[mabamba gandunia]].
Tabakamwamba inafanywa na miamba imara, tofauti na sehemu za ndani zaidi ya Dunia ambako mwamba na madini yote vinapatikana kwa hali nyumbufu au giligili kutokana na joto kali na shinikizo kubwa.

Eneo la tabakamwamba linagawiwa kwa vipande vikubwa ambavyo vinaelea juu ya sehemu moto za ndani. Vipande hivi ni mabamba ya ganda la Dunia au kwa kifupi [[mabamba gandunia]].


== Aina za tabakamwamba ==
== Aina za tabakamwamba ==
Kuna aina mbili za tabakamwamba:
Kuna aina mbili za tabakamwamba:


# Tabakamwamba chini ya bahari; mabamba gandunia huachana katika vilindi vya bahari na hapa [[magma|magma joto]] inapanda juu na kujenga hivyo miamba mipya ikipoa na kuganda. Hivyo ganda la Dunia chini ya bahari ina umri mdogo zaidi na unene mdogo wa kilomita 50-100.
# Tabakamwamba chini ya [[bahari]]; mabamba gandunia huachana katika vilindi vya bahari na hapo [[magma|magma joto]] inapanda juu na kujenga hivyo miamba mipya ikipoa na kuganda. Hivyo ganda la Dunia chini ya bahari ina [[umri]] mdogo zaidi na [[unene]] mdogo wa [[kilomita]] 50-100.
# Tabakamwamba ya bara. Hapa tunakuta miamba ya kale zaidi na unene wake ni km 100 hadi 200.
# Tabakamwamba la [[bara]]. Hapa tunakuta miamba ya kale zaidi na unene wake ni km 100 hadi 200.


==Mzunguko wa tabakamwamba==
==Mzunguko wa tabakamwamba==
Sehemu kubwa za tabakamwamba ziko katika mwendo wa kutokea na kupotea tena. Kenye vilindi vya bahari ambako mabamba gandunia yanaachana, magma inapanda na kuunda miamba mapya. Mchakato endelevu unasukuma mabamba jirani mbali kutoka mistari hii. Kwa upande mwingine kuna sehemu ambako mabamba yanasukumana na hapa bamba moja husukumwa chini ya bamba jingine na kwa namna hii kuunda mifereji ya bahari. Kadri miamba inazama chini na kuingia katika vilindi enye joto kubwa inayeyushwa tena na kujiunga na magma ya koti ya Dunia.
Sehemu kubwa za tabakamwamba ziko katika mwendo wa kutokea na kupotea tena. Kenye vilindi vya bahari ambako mabamba gandunia yanaachana, magma inapanda na kuunda miamba mipya. Mchakato endelevu unasukuma mabamba jirani mbali kutoka mistari hii. Kwa upande mwingine kuna sehemu ambako mabamba yanasukumana na hapa bamba moja husukumwa chini ya bamba jingine na kwa namna hiyo kuunda [[mifereji]] ya bahari. Kadiri miamba inavyozama chini na kuingia katika vilindi vyenye joto kubwa inayeyushwa tena na kujiunga na magma ya koti la Dunia.



== Marejeo ==
== Marejeo ==
{{Reflist}}
{{Reflist}}


=== Vyanzo vingine ===
==Marejeo mengine ==

* [http://www.windows.ucar.edu/cgi-bin/tour_def/earth/interior/earths_crust.html Ukoko wa ardhi, litholojia na anga]
* [http://www.geolsoc.org.uk/template.cfm?name=lithosphere Ukoko na Lithosphere]
* Barrell J. 1914a, b & c. Nguvu ya ukoko wa Dunia. Jarida la Jiolojia. '''22''', 425-433; 441-468; 655-683.
* Barrell J. 1914a, b & c. Nguvu ya ukoko wa Dunia. Jarida la Jiolojia. '''22''', 425-433; 441-468; 655-683.
* Daly, R. 1940 Nguvu na muundo wa Dunia. New York: Jumba la Prentice.
* Daly, R. 1940 Nguvu na muundo wa Dunia. New York: Jumba la Prentice.
* Chernicoff, Stanley na Whitney, Donna. 2007. ''Jiolojia. utangulizi wa jiolojia ya mwili'', 4th, Pearson 2007
* Chernicoff, Stanley na Whitney, Donna. 2007. ''Jiolojia. utangulizi wa jiolojia ya mwili'', 4th, Pearson 2007


== Other websites ==
== Viungo vya nje ==
* [http://www.windows.ucar.edu/cgi-bin/tour_def/earth/interior/earths_crust.html Ukoko wa ardhi, litholojia na anga]

* [http://www.geolsoc.org.uk/template.cfm?name=lithosphere Ukoko na Lithosphere]
* [http://sd71.bc.ca/sd71/school/courtmid/Library/subject_resources/science/chapter_7_composition.htm Links for Middle School students on the Earth's composition]
* [http://sd71.bc.ca/sd71/school/courtmid/Library/subject_resources/science/chapter_7_composition.htm Links for Middle School students on the Earth's composition]
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:Jiolojia]]

Pitio la 07:54, 24 Desemba 2019

Muundo wa Dunia: 1: Ganda la Dunia (kibahari 1a na kibara 1b unene km 0 hadi 80); 2: Koti la Dunia; 3: Kiini cha Dunia; 3a: Kiini cha nje (kiowevu); 3b: Kiini cha ndani (thabiti); 4: Tabakamwamba (ganda pamoja na sehemu ya juu ya koti); 5: Asthenosphere.
Mabamba gandunia.

Tabakamwamba (kwa Kiingereza lithosphere)[1] ni sehemu thabiti ya nje ya sayari ya Dunia. Hiyo inamaanisha ganda la Dunia, pamoja na chini yake sehemu ya juu ya "koti la dunia". Tabakamwamba linakaa juu ya sehemu moto na laini ya ndani zaidi ya koti la Dunia.

Kwenye mpaka kati ya tabakamwamba na koti lenyewe liko tabaka kasiduni (ing. asthenosphere) ambayo ni nyumbufu kiasi.

Tabakamwamba linafanywa na miamba imara, tofauti na sehemu za ndani zaidi ya Dunia ambako mwamba na madini yote vinapatikana kwa hali nyumbufu au giligili kutokana na joto kali na shinikizo kubwa.

Eneo la tabakamwamba linagawiwa kwa vipande vikubwa ambavyo vinaelea juu ya sehemu moto za ndani. Vipande hivyo ni mabamba ya ganda la Dunia au kwa kifupi mabamba gandunia.

Aina za tabakamwamba

Kuna aina mbili za tabakamwamba:

  1. Tabakamwamba chini ya bahari; mabamba gandunia huachana katika vilindi vya bahari na hapo magma joto inapanda juu na kujenga hivyo miamba mipya ikipoa na kuganda. Hivyo ganda la Dunia chini ya bahari ina umri mdogo zaidi na unene mdogo wa kilomita 50-100.
  2. Tabakamwamba la bara. Hapa tunakuta miamba ya kale zaidi na unene wake ni km 100 hadi 200.

Mzunguko wa tabakamwamba

Sehemu kubwa za tabakamwamba ziko katika mwendo wa kutokea na kupotea tena. Kenye vilindi vya bahari ambako mabamba gandunia yanaachana, magma inapanda na kuunda miamba mipya. Mchakato endelevu unasukuma mabamba jirani mbali kutoka mistari hii. Kwa upande mwingine kuna sehemu ambako mabamba yanasukumana na hapa bamba moja husukumwa chini ya bamba jingine na kwa namna hiyo kuunda mifereji ya bahari. Kadiri miamba inavyozama chini na kuingia katika vilindi vyenye joto kubwa inayeyushwa tena na kujiunga na magma ya koti la Dunia.

Marejeo

  1. IPA: lith'usfēr, kutoka maneno ya Kigiriki λίθος líthos (jiwe, mwamba) na σφαίρα sfaira (tufe, tabaka)

Marejeo mengine

  • Barrell J. 1914a, b & c. Nguvu ya ukoko wa Dunia. Jarida la Jiolojia. 22, 425-433; 441-468; 655-683.
  • Daly, R. 1940 Nguvu na muundo wa Dunia. New York: Jumba la Prentice.
  • Chernicoff, Stanley na Whitney, Donna. 2007. Jiolojia. utangulizi wa jiolojia ya mwili, 4th, Pearson 2007

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tabakamwamba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.