1 Mei : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 22: | Mstari 22: | ||
==Sikukuu== |
==Sikukuu== |
||
* Tarehe 1 Mei (pia huitwa ''Mei Mosi'') ni [[sikukuu]] ya [[wafanyakazi]] (kwa [[Kiingereza]] ''Labour Day''). |
* Tarehe 1 Mei (pia huitwa ''Mei Mosi'') ni [[sikukuu]] ya [[wafanyakazi]] (kwa [[Kiingereza]] ''Labour Day''). |
||
* [[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] |
* [[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] za [[watakatifu]] [[Yosefu (mume wa Maria)|Yosefu mfanyakazi]], [[nabii Yeremia]], [[Andeoli]], [[Tokwato na wenzake]], [[Amatori wa Auxerre]], [[Oriensi]], [[Sigismundi]], [[Asafo]], [[Pelegrino Laziosi]], [[Augustino Schoeffler]], [[Jean-Louis Bonnard|Yohane Ludoviko Bonnard]], [[Rikardo Pampuri]] n.k. |
||
==Viungo vya nje== |
==Viungo vya nje== |
Pitio la 11:33, 1 Desemba 2019
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Mei ni siku ya 121 ya mwaka (ya 122 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 244.
Matukio
Waliozaliwa
- 1848 - James Ford Rhodes, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1852 - Santiago Ramón y Cajal (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1906)
- 1895 - Leo Sowerby (mtungaji muziki Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1946)
- 1922 - Tad Mosel, mwandishi kutoka Marekani
- 1946 - John Woo (Kiongozi wa filamu kutoka China tangu mwaka 1973 - 2005 )
- 1978 - James Badge Dale, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1987 - Saidi Ntibazonkiza, mchezaji mpira kutoka Burundi
- 1988 - Richa Adhia, mwanamitindo kutoka Tanzania
Waliofariki
- 1555 - Papa Marcello II
- 1572 - Mtakatifu Papa Pius V, O.P.
- 1904 - Antonín Dvořák, mtunzi wa muziki kutoka Ucheki
- 1930 - Mtakatifu Rikardo Pampuri, O.H., daktari na bradha
Sikukuu
- Tarehe 1 Mei (pia huitwa Mei Mosi) ni sikukuu ya wafanyakazi (kwa Kiingereza Labour Day).
- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yosefu mfanyakazi, nabii Yeremia, Andeoli, Tokwato na wenzake, Amatori wa Auxerre, Oriensi, Sigismundi, Asafo, Pelegrino Laziosi, Augustino Schoeffler, Yohane Ludoviko Bonnard, Rikardo Pampuri n.k.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |