Magharibi : Tofauti kati ya masahihisho
d Protected "Magharibi" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)) |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[File:CompassRose16_W.png|thumb|250px|right|Alama za dira zikionyesha magharibi katika hali ya mkoozo (W = "West" = magharibi)]] |
[[File:CompassRose16_W.png|thumb|250px|right|Alama za dira zikionyesha magharibi katika hali ya mkoozo (W = "West" = magharibi)]] |
||
'''Magharibi''' ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya [[dira]]. Mwelekeo wake ni upande wa machweo ya jua. |
'''Magharibi''' ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya [[dira]]. Mwelekeo wake ni upande wa [[machweo]] ya [[jua]]. |
||
Magharibi ni pia [[jina]] la [[saa]] ya [[Sala|swala]] ya [[jioni]] ya [[Waislamu]] na swala yenyewe. |
|||
Jina "magharibi" limetokana na neno la [[Kiarabu]] مَغْرِب ''maghrib'' linalomaanisha sehemu upande wa machweo. |
Jina "magharibi" limetokana na neno la [[Kiarabu]] مَغْرِب ''maghrib'' linalomaanisha sehemu upande wa machweo. |
||
Magharibi kawaida huwa upande wa kushoto kwenye ramani. [[Tanzania]] iko upande |
Magharibi kawaida huwa upande wa kushoto kwenye [[ramani]]. [[Tanzania]] iko upande wa magharibi wa [[Bahari Hindi]], [[Burundi]] iko upande wa magharibi wa Tanzania, na nchi ya [[Malawi]] iko upande wa magharibi wa [[Msumbiji]]. |
||
Kwa maana ya kiutamaduni kuna |
Kwa maana ya kiutamaduni kuna mazoea ya kutaja [[utamaduni]] wa [[Ulaya]] pamoja na [[Marekani]] (ambayo ni [[mtoto]] wa utamaduni wa Ulaya) kama "[[ustaarabu wa magharibi]]", kinyume chake ni "[[mashariki]]" kwa maana ya [[Asia]]. |
||
Wakati wa [[vita baridi]] magharibi ilikuwa kifupi cha nchi za kibepari zilizofuata mtindo wa [[demokrasia]] kinyume na mashariki iliyomaanisha nchi za [[ukomunisti|kikomunisti]]. |
Wakati wa [[vita baridi]] magharibi ilikuwa [[kifupi]] cha [[Ubepari|nchi za kibepari]] zilizofuata mtindo wa [[demokrasia]] kinyume na mashariki iliyomaanisha nchi za [[ukomunisti|kikomunisti]]. |
||
== Tazama pia == |
== Tazama pia == |
||
Mstari 16: | Mstari 16: | ||
* [[Kusini]] |
* [[Kusini]] |
||
* [[Mashariki]] |
* [[Mashariki]] |
||
{{mbegu-jio}} |
{{mbegu-jio}} |
Toleo la sasa la 10:04, 29 Novemba 2019
Magharibi ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya dira. Mwelekeo wake ni upande wa machweo ya jua.
Magharibi ni pia jina la saa ya swala ya jioni ya Waislamu na swala yenyewe.
Jina "magharibi" limetokana na neno la Kiarabu مَغْرِب maghrib linalomaanisha sehemu upande wa machweo.
Magharibi kawaida huwa upande wa kushoto kwenye ramani. Tanzania iko upande wa magharibi wa Bahari Hindi, Burundi iko upande wa magharibi wa Tanzania, na nchi ya Malawi iko upande wa magharibi wa Msumbiji.
Kwa maana ya kiutamaduni kuna mazoea ya kutaja utamaduni wa Ulaya pamoja na Marekani (ambayo ni mtoto wa utamaduni wa Ulaya) kama "ustaarabu wa magharibi", kinyume chake ni "mashariki" kwa maana ya Asia.
Wakati wa vita baridi magharibi ilikuwa kifupi cha nchi za kibepari zilizofuata mtindo wa demokrasia kinyume na mashariki iliyomaanisha nchi za kikomunisti.
Tazama pia
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|