Tofauti kati ya marekesbisho "Fonolojia"

Jump to navigation Jump to search
243 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
Fonolojia kwa mujibu wa Zinduka mwashambwa
(Fonolojia kwa mujibu wa Zinduka mwashambwa)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
'''Fonolojia''' (hasa huitwa '''Sarufi Matamshi''') ni [[tawi]] la [[sayansi]] ya [[isimu]]. Inashughulikia [[uchunguzi]] wa [[mfumo wa sauti]] katika [[lugha]] fulani, kwa mfano ugawanyaji wa [[irabu]] na [[konsonanti]]. Kwa mujibu wa Zinduka mwashambwa fonolojia ni tawi la isimu yaani sayansi ya lugha ambalo linajishughulisha na uchambuzi wa sauti ama matamshi ya lugha mahususi mfano sauti za lugha ya kiswahili .hivyo fonolojia huchunguza sauti za lugha moja
 
Ala za [[sauti]] ([[vipashio]] vya utamkaji) zinatumika katika utamkaji wa [[fonimu]] (vitamkwa) za lugha husika. Mkondo wa hewa wakati wa utamkaji. Kuwepo na kutokuwepo kwa mguno wakati wa utamkaji (ghuna/sighuna).
7

edits

Urambazaji