Tofauti kati ya marekesbisho "Mtunzi"

Jump to navigation Jump to search
7 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mtunzi [[Mfaransa Louis-Nicolas Clérambault akipiga kinanda.]] '''Mtunzi''' (kutoka kitenzi "kutunga";...')
 
[[File:Louis-Nicolas Clerambault.jpg|thumb|Mtunzi [[Mfaransa]] [[Louis-Nicolas Clérambault]] akipigaakiandika juu ya [[kinanda]].]]
'''Mtunzi''' (kutoka [[kitenzi]] "kutunga"; kwa [[Kiingereza]]: '''composer''', kutoka [[Kilatini]] ''compōnō'', yaani "anayekewa pamoja") ni hasa [[mwanamuziki]] ambaye amebuni [[wimbo]] au [[muziki]] wa aina yoyote. Mara nyingi mtunzi ni pia [[mwimbaji]] au mpiga [[ala]] bora.
 
Katika [[Kiswahili]] [[jina]] hilohilo linaweza pia kutumika kwa [[mtu]] aliyeandika [[kitabu]] au [[shairi]], lakini pia [[msanii]] wa aina nyingine aliyebuni [[kitu]] kipya.

Urambazaji