Mtunzi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mtunzi [[Mfaransa Louis-Nicolas Clérambault akipiga kinanda.]] '''Mtunzi''' (kutoka kitenzi "kutunga";...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:14, 24 Novemba 2019

Mtunzi Mfaransa Louis-Nicolas Clérambault akipiga kinanda.

Mtunzi (kutoka kitenzi "kutunga"; kwa Kiingereza: composer, kutoka Kilatini compōnō, yaani "anayekewa pamoja") ni hasa mwanamuziki ambaye amebuni wimbo au muziki wa aina yoyote. Mara nyingi mtunzi ni pia mwimbaji au mpiga ala bora.

Katika Kiswahili jina hilohilo linaweza pia kutumika kwa mtu aliyeandika kitabu au shairi, lakini pia msanii wa aina nyingine aliyebuni kitu kipya.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtunzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.