Pogromu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Lviv pogrom (June - July 1941).jpg|thumb|Pogromu dhidi ya Wayahudi pale [[Lviv]] 1941]]
[[Picha:Lviv pogrom (June - July 1941).jpg|thumb|Pogromu dhidi ya Wayahudi huko [[Lviv]] [[mwaka]] [[1941]].]]
'''Pogromu''' (kutoka [[rus.]] погромить (''pogromit'') - kuharibu vikali, kufanya fujo) ni neno la kutaja ghasia kali inayolengwa dhidi ya kundi maalumu kama vile wafuasi wa dini au kabila fulani.
'''Pogromu''' (kutoka [[Kirusi]] погромить, ''pogromit'' - kuharibu vikali, kufanya fujo) ni ghasia kali inayolengwa dhidi ya [[kundi]] maalumu kama vile wafuasi wa [[dini]] au [[kabila]] fulani.

Neno latokana na ghasia za fujo katika [[Urusi]] wa karne ya 19 ambako [[Wayahudi]] walishambuliwa, maduka na nyumba zao kuharibiwa na idadi ya watu kuuawa hovyo. Kwa hiyo neno "pogromu" lataja hasa mashambulio dhidi ya Wayahudi katika Ulaya. Lakini inatumiwa pia kwa mashambulio dhidi ya vikundi vingine.


[[Neno]] latokana na ghasia za fujo katika [[Urusi]] wa [[karne ya 19]] ambako [[Wayahudi]] walishambuliwa, [[Duka|maduka]] na [[nyumba]] zao kuharibiwa na [[idadi]] ya [[watu]] kuuawa hovyo. Kwa hiyo neno "pogromu" lataja hasa mashambulio dhidi ya Wayahudi katika [[Ulaya]]. Lakini inatumiwa pia kwa mashambulio dhidi ya vikundi vingine.
{{mbegu-historia}}
[[jamii:Siasa]]
[[jamii:Siasa]]
[[Jamii:Dhuluma]]

Toleo la sasa la 12:14, 23 Novemba 2019

Pogromu dhidi ya Wayahudi huko Lviv mwaka 1941.

Pogromu (kutoka Kirusi погромить, pogromit - kuharibu vikali, kufanya fujo) ni ghasia kali inayolengwa dhidi ya kundi maalumu kama vile wafuasi wa dini au kabila fulani.

Neno latokana na ghasia za fujo katika Urusi wa karne ya 19 ambako Wayahudi walishambuliwa, maduka na nyumba zao kuharibiwa na idadi ya watu kuuawa hovyo. Kwa hiyo neno "pogromu" lataja hasa mashambulio dhidi ya Wayahudi katika Ulaya. Lakini inatumiwa pia kwa mashambulio dhidi ya vikundi vingine.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pogromu kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.