Pogromu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Lviv pogrom (June - July 1941).jpg|thumb|Pogromu dhidi ya Wayahudi pale [[Lviv]] 1941]]
'''Pogromu''' (kutoka [[rus.]] погромить (''pogromit'') - kuharibu vikali, kufanya fujo) ni neno la kutaja ghasia kali inayolengwa dhidi ya kundi maalumu kama vile wafuasi wa dini au kabila fulani.
'''Pogromu''' (kutoka [[rus.]] погромить (''pogromit'') - kuharibu vikali, kufanya fujo) ni neno la kutaja ghasia kali inayolengwa dhidi ya kundi maalumu kama vile wafuasi wa dini au kabila fulani.

Pitio la 11:07, 23 Novemba 2019

Pogromu dhidi ya Wayahudi pale Lviv 1941

Pogromu (kutoka rus. погромить (pogromit) - kuharibu vikali, kufanya fujo) ni neno la kutaja ghasia kali inayolengwa dhidi ya kundi maalumu kama vile wafuasi wa dini au kabila fulani.

Neno latokana na ghasia za fujo katika Urusi wa karne ya 19 ambako Wayahudi walishambuliwa, maduka na nyumba zao kuharibiwa na idadi ya watu kuuawa hovyo. Kwa hiyo neno "pogromu" lataja hasa mashambulio dhidi ya Wayahudi katika Ulaya. Lakini inatumiwa pia kwa mashambulio dhidi ya vikundi vingine.