Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 25: Mstari 25:
#[http://en.wikipedia.org/wiki/(mathematics)_function (mathematics) function] - sw: [[namba tegemezi]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/(mathematics)_function (mathematics) function] - sw: [[namba tegemezi]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/general_relativity general relativity] - sw: [[uhusianifu majumui]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/general_relativity general relativity] - sw: [[uhusianifu majumui]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/inductor inductor] - sw: [[kidukizi]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/infinity infinity] - sw: [[msopeo]]? - [[bila kikomo]] ?
#[http://en.wikipedia.org/wiki/infinity infinity] - sw: [[msopeo]]? - [[bila kikomo]] ?
#[http://en.wikipedia.org/wiki/mathematical_analysis mathematical analysis] - sw: [[uchambuzi wa kihisabati]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/mathematical_analysis mathematical analysis] - sw: [[uchambuzi wa kihisabati]]
Mstari 31: Mstari 30:
#[http://en.wikipedia.org/wiki/operating_system operating system] - sw: [[operating system]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/operating_system operating system] - sw: [[operating system]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/physical_chemistry physical chemistry] - sw: [[kemia ya fizikia]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/physical_chemistry physical chemistry] - sw: [[kemia ya fizikia]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/set_theory set theory] - sw: [[nadharia seti]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/strong_interaction strong interaction] - sw: [[mtagusano madhubuti]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/strong_interaction strong interaction] - sw: [[mtagusano madhubuti]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/weak_interaction weak interaction] - sw: [[mtagusano dhaifu]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/weak_interaction weak interaction] - sw: [[mtagusano dhaifu]]

Pitio la 14:05, 19 Novemba 2019

Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo: ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.

Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo kuhusu makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia inayoendelea kuhaririwa.

Hapo chini ni mada katika Wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni Wikipedia kubwa zaidi na hivyo ni ya msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha Wikipedia za lugha mbalimbali. Chanzo chake ni Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili.

Kila mwanawikipedia anaombwa

    • kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina jekundu upande wa kulia kutaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni jina la Kiingereza bado, ulitafsiri kabla ya kuanza.
    • Kuboresha michango katika orodha ya "makala 1000" kwa kuiongeza matini maana nyingine bado ni fupi sana

Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha Wikipedia mbalimbali zinaweza kukosea. Kwa mfano hazikutambua makala ya "Brussels" katika Wikipedia yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala ipo. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya Wikipedia ya Kiswahili.

Kwa orodha kamili ya makala zote 1000 tazama hapa: Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000.

Baada ya kumaliza kuna pia orodha iliyopanuliwa ya makala 10,000 Meta:List of articles every Wikipedia should have/Expanded

Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 za msingi

(hali mnamo Novemba 2019) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo vya Wikipedia ya Kiswahili ambavyo makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa baadaye)

OMBI: Tusiweke kiungo cha elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!

  1. conservation of energy - sw: kanuni ya hifadhi ya nishati
  2. (mathematics) function - sw: namba tegemezi
  3. general relativity - sw: uhusianifu majumui
  4. infinity - sw: msopeo? - bila kikomo ?
  5. mathematical analysis - sw: uchambuzi wa kihisabati
  6. numerical analysis - sw: uchambuzi namba
  7. operating system - sw: operating system
  8. physical chemistry - sw: kemia ya fizikia
  9. strong interaction - sw: mtagusano madhubuti
  10. weak interaction - sw: mtagusano dhaifu