Grand Theft Auto IV : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Grand Theft Auto IV''' ni mchezo ulitengenezwa na Rockstar North na kuchapishwa na Rockstar Games. Mchezo huu ulitolewa kwa ajili ya [[PlayStation 3]...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:11, 17 Novemba 2019

Grand Theft Auto IV ni mchezo ulitengenezwa na Rockstar North na kuchapishwa na Rockstar Games. Mchezo huu ulitolewa kwa ajili ya PlayStation 3 na Xbox 360 mnamo tarehe 29 Aprili 2008 na kwa ajili ya Microsoft Windows mnamo tarehe 2 Desemba 2008. Grand Theft Auto IV ni mchezo wa kumi na moja katika mfululizo wa Grand Theft Auto.

Viungo vya nje

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
  • [http:// Official website]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Grand Theft Auto IV kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.