Muachano : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|population mbili kwa same wastani lakini muachano mbalimbali. Kwa takwimu, '''muachano''' (kwa Kiingereza...'
 
No edit summary
Mstari 17: Mstari 17:
<code>> SampuliYangu<- c(7, 4, 3, 6, 9, 2, 9, 13, 9, 9)</code>
<code>> SampuliYangu<- c(7, 4, 3, 6, 9, 2, 9, 13, 9, 9)</code>


<code>> sd(SampuliYangu)</code>
<code>> var(SampuliYangu)</code>


<code>[1] 3.381321</code>
<code>[1] 11.43333</code>


== Marejeo ==
== Marejeo ==
Mstari 25: Mstari 25:
* Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). ''An introduction to probability and statistics''. Wiley.
* Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). ''An introduction to probability and statistics''. Wiley.
* Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). ''Introduction to statistics and data analysis''. Cengage Learning.
* Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). ''Introduction to statistics and data analysis''. Cengage Learning.

<br />
[[Jamii:Takwimu]]
[[Jamii:Hisabati]]

Pitio la 09:33, 17 Novemba 2019

population mbili kwa same wastani lakini muachano mbalimbali.


Kwa takwimu, muachano (kwa Kiingereza "Variance") ni kipimo cha kiasi cha tawanyiko ya sampuli ya data. Kwa hisabati muachano ni wastani ya kipeo cha pili ya pengo toka wastani.

Muachano wa chini unaonyesha thamani za sampuli ya data ni karibu na wastani, ilhali muachano wa juu unaonyesha thamani ni mbali na wastani.

Umeandikwa kwa herufi ya Kigiriki σ2 au kwa herufi ya Kilatini V

Muachano ni kipeo cha pili (square) ya mkengeuko wastani. Kwa hivyo mkengeuko wastani ni kipeuo cha pili (square root) cha muachano.

Muachano ni kipimo cha tawanyiko kama muachano au masafa.

Kwa programu ya takwimu R

Ili mtafute mkengeuko wastani kwa lugha ya programu ya takwimu R mandike :

> SampuliYangu<- c(7, 4, 3, 6, 9, 2, 9, 13, 9, 9)

> var(SampuliYangu)

[1] 11.43333

Marejeo

  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.