5 Januari : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 20: | Mstari 20: | ||
==Sikukuu== |
==Sikukuu== |
||
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] |
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] za [[watakatifu]] [[Sinkletika|Sinkletika wa Aleksandria]], [[Deogratias wa Karthago]], [[Emiliana wa Roma]], [[Edward Muungamaji|Edwadi Muungamadini]], [[Yohane Nepomuseni Neumann]], [[Genoveva Torres Morales]] n.k. |
||
==Viungo vya nje== |
==Viungo vya nje== |
Pitio la 08:44, 15 Novemba 2019
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Januari ni siku ya tano ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 360 (361 katika miaka mirefu).
Matukio
Waliozaliwa
- 1846 - Rudolf Christoph Eucken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1908
- 1874 - Joseph Erlanger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944
- 1926 - W. D. Snodgrass, mshairi kutoka Marekani
- 1928 - Walter Mondale, Kaimu Rais wa Marekani
- 1938 - Ngugi wa Thiongo, mwandishi Mkenya
Waliofariki
- 1066 - Mtakatifu Edward Muungamaji, Mfalme wa Uingereza
- 1933 - Calvin Coolidge, Rais wa Marekani (1923-1929)
- 1970 - Max Born, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954
- 1979 - Charles Mingus, mwanamuziki wa Marekani
- 1981 - Harold Urey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1934
- 2010 - Beverly Aadland, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sinkletika wa Aleksandria, Deogratias wa Karthago, Emiliana wa Roma, Edwadi Muungamadini, Yohane Nepomuseni Neumann, Genoveva Torres Morales n.k.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |