Matumbwitumbwi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 6: Mstari 6:


Kuna [[chanjo]] dhidi ya [[surua]], matumbwitumbwi na [[rubela]].
Kuna [[chanjo]] dhidi ya [[surua]], matumbwitumbwi na [[rubela]].

[[Jina]] la ugonjwa huo kwa [[Kiswahili]] limetokana na matumbwitumbwi (au matubwitubwi au machubwichubwi) ambayo ni [[uji]] wenye vibonge vidogovidogo vya [[unga]].


{{mbegu-tiba}}
{{mbegu-tiba}}

Toleo la sasa la 13:30, 12 Novemba 2019

Mtoto mwenye ugonjwa wa matumbwitumbwi.
Virusi vya matumbwitumbwi.

Matumbwitumbwi (kwa Kiingereza: "mumps") ni ugonjwa unaotokana na virusi ambao unapata binadamu tu.

Dalili za kawaida zaidi ni homa, maumivu ya kichwa, harufu mbaya na uvimbe katika tezi na mapumbu.

Kuna chanjo dhidi ya surua, matumbwitumbwi na rubela.

Jina la ugonjwa huo kwa Kiswahili limetokana na matumbwitumbwi (au matubwitubwi au machubwichubwi) ambayo ni uji wenye vibonge vidogovidogo vya unga.

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matumbwitumbwi kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.