Tunisia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 65: Mstari 65:
Katika [[elimu]] na biashara [[Kifaransa]] kinatumika pia sana.
Katika [[elimu]] na biashara [[Kifaransa]] kinatumika pia sana.


Upande wa [[dini]], [[Uislamu]] unafuatwa na [[asilimia]] 98 za wakazi, nao ndio [[dini rasmi]].
Upande wa [[dini]], [[Uislamu]] unafuatwa na [[asilimia]] 98 za wakazi, nao ndio [[dini rasmi]]. Waliobaki ni [[Wakristo]], hasa [[Wakatoliki]], na [[Wayahudi]].


==Tazama pia==
==Tazama pia==

Pitio la 08:37, 8 Novemba 2019

الجمهورية التونسية
al-Jumhūriyya at-Tūnisiyya
Jamhuri ya Tunisia
Bendera ya Tunisia Nembo ya Tunisia
Wimbo wa Taifa Humata l-hima
Lugha rasmi Kiarabu1
Mji mkuu Tunis
Aina ya serikali Jamhuri
Rais Beji Caid Essebsi
Waziri Mkuu Habib Essid
Eneo km² 163.610
Wakazi 10,982,754 (Julai 2014)
Wakazi kwa km² 63
Uhuru 20 Machi 1956 (kutoka Ufaransa)
Pesa Dinari ya Tunisia
Wakati UTC +1
Sikukuu ya Taifa 7 Novemba
(1) Lugha ya elimu ni Kifaransa
Tunisia katika Afrika ya Kaskazini
Tunisia katika Afrika ya Kaskazini
Ramani ya Tunisia

Tunisia (kirefu Jamhuri ya Tunisia - kwa Kiarabu الجمهرية التونسية, al-Jumhūrīya at-Tūnisīya) ni nchi ya Afrika ya Kaskazini inayopakana na Bahari ya Mediteranea, Libya na Algeria.

Mji mkuu ni Tunis (wakazi 728 453) ulioko mahali pa Karthago ya kale.

Historia

Tunisia iliwahi kutawaliwa na Wafinikia walioanzisha huko mji wa Karthago.

Baada ya hao kushindwa na Roma ya Kale, ilikuwa jimbo la "Africa" katika Dola la Roma.

Kisha eneo lake likatawaliwa na Wavandali, Waarabu, Wahispania, Waturuki na Wafaransa.

Tarehe 20 Machi 1956 ilipata uhuru.

Watu

Wakazi karibu wote (98%) wanajiita Waarabu na hutumia lugha ya Kiarabu ambacho ndicho lugha rasmi. Hata hivyo damu yao ni mchanganyiko hasa wa ile ya Waberber, Waarabu na Waturuki.

Takriban watu 200,000, hasa kusini, wanaendelea kuzungumza Kiberber ambacho ni lugha asili ya wenyeji lakini Waberber wengi wamezoea kutumia Kiarabu.

Katika elimu na biashara Kifaransa kinatumika pia sana.

Upande wa dini, Uislamu unafuatwa na asilimia 98 za wakazi, nao ndio dini rasmi. Waliobaki ni Wakristo, hasa Wakatoliki, na Wayahudi.

Tazama pia

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tunisia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.