Funafuti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:


[[Picha:RuimtefotoFunafuti.jpg|350px|thumb|Funafuti kwa macho ya ndege]]
[[Picha:RuimtefotoFunafuti.jpg|350px|thumb|Funafuti kwa macho ya ndege]]
[[Picha:Northern Funafuti.jpg|300px|thumb|Baraba kwenye sehemu nyembamba ya Funafuti (kushoto: bahari, kulia: bwawa la ndani ya atolli)]]
[[Picha:Northern Funafuti.jpg|300px|thumb|Barabara kwenye sehemu nyembamba ya Funafuti (kushoto: bahari, kulia: bwawa la ndani ya atolli)]]
[[Picha:Tuvalu - Funafuti - School.jpg|300px|thumb|Shule ya Funafuti]]
[[Picha:Tuvalu - Funafuti - School.jpg|300px|thumb|Shule ya Funafuti]]
'''Funafuti''' ni [[mji mkuu]] wa [[Nchi za visiwa|nchi ya visiwa]] ya [[Tuvalu]] . Ina wakazi 4,492 (mwaka [[2002]]). Mji upo kwenye [[atolli]] ya Funafuti ambayo infanywa na visiwa zaidi ya 30 ambvyo ni vyembamba vyenye upana kati ya mita 20 hadi 400 pekee.
'''Funafuti''' ni [[mji mkuu]] wa [[Nchi za visiwa|nchi ya visiwa]] ya [[Tuvalu]]. Ina wakazi 4,492 (mwaka [[2002]]). [[Mji]] upo kwenye [[atolli]] ya Funafuti ambayo inafanywa na [[visiwa]] zaidi ya 30 ambavyo ni vyembamba vikiwa na [[upana]] kati ya [[mita]] 20 hadi 400 pekee.


Wenyeji huishi katika vijiji 9 ambavyo pamoja hufanya mji wa Funafuti. Majengo ya kiserikali ya nchi yanapatikana kwenye kisiwa kikubwa cha atolli kinachoitwa Fongafale chenye kijji cha Vaiaku (wakazi 682).
Wenyeji huishi katika vijiji 9 ambavyo pamoja hufanya mji wa Funafuti. [[Jengo|Majengo]] ya [[serikali]] ya nchi yanapatikana kwenye kisiwa kikubwa cha atolli kinachoitwa Fongafale chenye kijji cha Vaiaku (wakazi 682).


Kuna [[Uwanja wa ndege|uwanja]] wa [[Uwanja wa ndege|ndege]], hoteli (Hoteli ya Vaiaku Langi ), na majengo ya kiutawala, na vile vile makazi. Nyumba za watu hujengwa kwa kufuata utamaduni wa jadi kwa viunga vya mitende, na hivi karibuni pia kwa kutumia bloku za saruji. Jengo maarufu zaidi kwenye atolli ya Funafuti ni Kanisa la Tuvalu .
Kuna [[Uwanja wa ndege|uwanja]] wa [[Uwanja wa ndege|ndege]], [[hoteli]] (Hoteli ya Vaiaku Langi), majengo ya kiutawala, na vile vile makazi. [[Nyumba]] za [[watu]] hujengwa kwa kufuata [[utamaduni]] wa [[jadi]] kwa viunga vya [[mitende]], na hivi karibuni pia kwa kutumia bloku za [[saruji]]. Jengo maarufu zaidi kwenye atolli ya Funafuti ni [[Kanisa]] la Tuvalu.


== Visiwa katika Funafuti ==
== Visiwa katika Funafuti ==
Kuna angalau [[Kisiwa|visiwa]] 33 kwenye atolli. Kubwa zaidi ni Fongafale, ikifuatiwa na Funafala. Angalau visiwa vitatu vinakaliwa, ambayo ni Fongafale, Funafala na Motuloa .
Kuna angalau [[Kisiwa|visiwa]] 33 kwenye atolli. Kubwa zaidi ni Fongafale, ikifuatiwa na Funafala. Angalau visiwa vitatu vinakaliwa, ambayo ni Fongafale, Funafala na Motuloa.


* Amatuku
* Amatuku
* Avalau
* Avalau
* Falaoigo
* Falaoigo
* Fale Fatu (or ''Falefatu'')
* Fale Fatu (au ''Falefatu'')
* Fatato
* Fatato
* Fongafale
* Fongafale
* Fuafatu
* Fuafatu
* Fuagea
* Fuagea
* Fualefeke (or ''Fualifeke'')
* Fualefeke (au ''Fualifeke'')
* Fualopa
* Fualopa
* Funafala
* Funafala
Mstari 30: Mstari 30:
* Mulitefala
* Mulitefala
* Nukvalevale
* Nukvalevale
* Papa Elise (or ''Funangongo'')
* Papa Elise (au ''Funangongo'')
* Pukasavilivili
* Pukasavilivili
* Te Afuafou
* Te Afuafou
Mstari 36: Mstari 36:
* Tefala
* Tefala
* Telele
* Telele
* Tengako (peninsula of the island of Fongafale)
* Tengako (peninsula ya kisiwa cha Fongafale)
* Tengasu
* Tengasu
* Tepuka
* Tepuka
Mstari 45: Mstari 45:


== Bwawa la ndani TeNamo ==
== Bwawa la ndani TeNamo ==
Bwawa la ndani ya atolli hujulikana kwa jina la TeNamo. Eneo lake la maji ni mnamo km<small><sup>2</sup></small> 275, ilhali eneo la nchi kavu linalozuguka bwawa la ndani ni chini ya km<small><sup>2</sup></small> 3.
Bwawa la ndani ya atolli hujulikana kwa jina la TeNamo. Eneo lake la [[maji]] ni mnamo km<small><sup>2</sup></small> 275, ilhali eneo la nchi kavu linalozuguka bwawa la ndani ni chini ya km<small><sup>2</sup></small> 3.


== Mahali ==
== Mahali ==

Toleo la sasa la 12:47, 6 Novemba 2019

Funafuti kwa macho ya ndege
Barabara kwenye sehemu nyembamba ya Funafuti (kushoto: bahari, kulia: bwawa la ndani ya atolli)
Shule ya Funafuti

Funafuti ni mji mkuu wa nchi ya visiwa ya Tuvalu. Ina wakazi 4,492 (mwaka 2002). Mji upo kwenye atolli ya Funafuti ambayo inafanywa na visiwa zaidi ya 30 ambavyo ni vyembamba vikiwa na upana kati ya mita 20 hadi 400 pekee.

Wenyeji huishi katika vijiji 9 ambavyo pamoja hufanya mji wa Funafuti. Majengo ya serikali ya nchi yanapatikana kwenye kisiwa kikubwa cha atolli kinachoitwa Fongafale chenye kijji cha Vaiaku (wakazi 682).

Kuna uwanja wa ndege, hoteli (Hoteli ya Vaiaku Langi), majengo ya kiutawala, na vile vile makazi. Nyumba za watu hujengwa kwa kufuata utamaduni wa jadi kwa viunga vya mitende, na hivi karibuni pia kwa kutumia bloku za saruji. Jengo maarufu zaidi kwenye atolli ya Funafuti ni Kanisa la Tuvalu.

Visiwa katika Funafuti[hariri | hariri chanzo]

Kuna angalau visiwa 33 kwenye atolli. Kubwa zaidi ni Fongafale, ikifuatiwa na Funafala. Angalau visiwa vitatu vinakaliwa, ambayo ni Fongafale, Funafala na Motuloa.

  • Amatuku
  • Avalau
  • Falaoigo
  • Fale Fatu (au Falefatu)
  • Fatato
  • Fongafale
  • Fuafatu
  • Fuagea
  • Fualefeke (au Fualifeke)
  • Fualopa
  • Funafala
  • Funamanu
  • Luamotu
  • Mateika
  • Motugie
  • Motuloa
  • Mulitefala
  • Nukvalevale
  • Papa Elise (au Funangongo)
  • Pukasavilivili
  • Te Afuafou
  • Te Afualiku
  • Tefala
  • Telele
  • Tengako (peninsula ya kisiwa cha Fongafale)
  • Tengasu
  • Tepuka
  • Tepuka Vili Vili
  • Tutanga
  • Vasafua
  • And at least 5 other islands

Bwawa la ndani TeNamo[hariri | hariri chanzo]

Bwawa la ndani ya atolli hujulikana kwa jina la TeNamo. Eneo lake la maji ni mnamo km2 275, ilhali eneo la nchi kavu linalozuguka bwawa la ndani ni chini ya km2 3.

Mahali[hariri | hariri chanzo]

8°31′S 179°13′E