Sani Abacha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Jenerali Sani Abacha''' ([[20 Septemba]] [[1943]]–[[8 Juni]] [[1998]]) alikuwa kiongozi wa kijeshi wa [[Nigeria]], pia alikuwa mwanasiasa. Kuanzia [[mwaka]] wa [[1993]] hadi kifo chake mwaka wa [[1998]] alikuwa Rais wa kumi wa nchi ya [[Nigeria]].
'''Jenerali Sani Abacha''' ([[20 Septemba]] [[1943]] [[8 Juni]] [[1998]]) alikuwa [[kiongozi wa kijeshi]] na [[mwanasiasa]] wa [[Nigeria]]. Kuanzia [[mwaka]] wa [[1993]] hadi [[kifo]] chake mwaka wa [[1998]] alikuwa [[Rais]] wa kumi wa nchi hiyo.


== Maisha ==
== Maisha ==
Mstari 5: Mstari 5:


== Urais ==
== Urais ==
Abacha alitanguliwa na Rais [[Ernest Shonekan]]. <br />
Abacha alitanguliwa na Rais [[Ernest Shonekan]].

Kama Rais, Abacha alifahamika sana kwa udikteta. Baada ya kifo cha Abacha, akakamata madaraka [[Abdulsalami Abubakar]] aliyekaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja tu, kisha uchaguzi wa kitaifa ukapita.
Kama Rais, Abacha alifahamika sana kwa [[udikteta]].

Baada ya kifo cha Abacha, akashika madaraka [[Abdulsalami Abubakar]] aliyekaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja tu, kisha uchaguzi wa kitaifa ukapita.


== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==
Mstari 12: Mstari 15:


{{Mbegu-mwanasiasa}}
{{Mbegu-mwanasiasa}}

{{DEFAULTSORT:Abacha, Sani}}
{{DEFAULTSORT:Abacha, Sani}}

[[Jamii:Marais wa Nigeria]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Nigeria]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1943]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1943]]
[[Jamii:Waliofariki 1998]]
[[Jamii:Waliofariki 1998]]
[[Jamii:Marais wa Nigeria]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Nigeria]]

Pitio la 06:29, 6 Novemba 2019

Jenerali Sani Abacha (20 Septemba 19438 Juni 1998) alikuwa kiongozi wa kijeshi na mwanasiasa wa Nigeria. Kuanzia mwaka wa 1993 hadi kifo chake mwaka wa 1998 alikuwa Rais wa kumi wa nchi hiyo.

Maisha

Abacha alizaliwa mjini Kano tar. 20 Septemba mwaka 1943.

Urais

Abacha alitanguliwa na Rais Ernest Shonekan.

Kama Rais, Abacha alifahamika sana kwa udikteta.

Baada ya kifo cha Abacha, akashika madaraka Abdulsalami Abubakar aliyekaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja tu, kisha uchaguzi wa kitaifa ukapita.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sani Abacha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.