Marvel Studios : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Marvel studios hadi Marvel Studios: usahihi wa jina
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Marvel Studios logo.jpg|thumb|283x283px|Hii ni nembo ya Marvel Studios]]
[[Picha:Marvel Studios logo.jpg|thumb|283x283px|Hii ni nembo ya Marvel Studios]]
'''Marvel studios'''(Ikijulikana kama '''Marvel films''' tangu [[mwaka]] [[1993]] hadi [[1996]]) ni [[kampuni]] ya kutengeneza [[filamu]] ya huko nchini [[Marekani]] ambayo ni tawi la [[The Walt Disney Studios]]. Marvel studios wanafahamika sana kwa utoaji wa filamu za Marvel cinematic Universe ambazo zimeweza kukusanya pesa takribani $22.5 [[bilioni]] huku katika hizo [[Avengers: Endgame|Avengers:Endgame]] imekusanya $2.8 bilioni [[Duniani]] kote.
'''Marvel Studios''' (ilijulikana kama '''Marvel films''' tangu [[mwaka]] [[1993]] hadi [[1996]]) ni [[kampuni]] ya kutengeneza [[filamu]] ya huko nchini [[Marekani]] ambayo ni tawi la [[The Walt Disney Studios]].
Marvel Studios inafahamika sana kwa utoaji wa filamu za Marvel cinematic Universe ambazo zimeweza kukusanya pesa takribani $22.5 [[bilioni]] huku katika hizo [[Avengers: Endgame|Avengers:Endgame]] imekusanya $2.8 bilioni [[Duniani]] kote.


Marvel Studios wameweza kutoa filamu [[Ishirini]] na [[tatu]] tangu mwaka [[2008]] hadi sasa. Filamu ya kwanza ilikua ni [[Iron Man (filamu)|Iron Man (2008)]] na filamu ya mwisho ni [[Spider-Man: Far From Home]] ([[2019]]). Filamu hizi huwa na mwendelezo wa Moja na nyingine.
Marvel Studios wameweza kutoa filamu [[Ishirini]] na [[tatu]] tangu mwaka [[2008]] hadi sasa. Filamu ya kwanza ilikua ni [[Iron Man (filamu)|Iron Man (2008)]] na filamu ya mwisho ni [[Spider-Man: Far From Home]] ([[2019]]). Filamu hizi huwa na mwendelezo wa Moja na nyingine.


<br />{{Mbegu-filamu}}
{{Mbegu-uchumi}}
[[Jamii:Mbegu za filamu]]
[[Jamii:Makampuni ya Marekani]]

Pitio la 14:27, 3 Novemba 2019

Hii ni nembo ya Marvel Studios

Marvel Studios (ilijulikana kama Marvel films tangu mwaka 1993 hadi 1996) ni kampuni ya kutengeneza filamu ya huko nchini Marekani ambayo ni tawi la The Walt Disney Studios.

Marvel Studios inafahamika sana kwa utoaji wa filamu za Marvel cinematic Universe ambazo zimeweza kukusanya pesa takribani $22.5 bilioni huku katika hizo Avengers:Endgame imekusanya $2.8 bilioni Duniani kote.

Marvel Studios wameweza kutoa filamu Ishirini na tatu tangu mwaka 2008 hadi sasa. Filamu ya kwanza ilikua ni Iron Man (2008) na filamu ya mwisho ni Spider-Man: Far From Home (2019). Filamu hizi huwa na mwendelezo wa Moja na nyingine.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marvel Studios kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.