Spider-Man 3 : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Spider-Man 3''' ni filamu ya kishujaa ya kimarekani inayohusu hadithi ya mwanachama wa Marvel Comics, Spider-Man. Ilitungwa na Sam Raimi,...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:43, 3 Novemba 2019

Spider-Man 3 ni filamu ya kishujaa ya kimarekani inayohusu hadithi ya mwanachama wa Marvel Comics, Spider-Man. Ilitungwa na Sam Raimi, kaka yake mkubwa Ivan na Alvin Sargent.

Ni filamu ya mwisho katika mfululizo wa filamu za Spider-Man zilizotungwa na Raimi. Nyota wa filamu Tobey Maguire kama Peter Parker / Spider-Man, pamoja na Kirsten Dunst, James Franco, Thomas Haden Church, Topher Grace, Bryce Dallas Howard, James Cromwell, Rosemary Harris na J. K. Simmons.

Washiriki

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:

Rasmi

Mapitio

Mengineyo