Ummy Ally Mwalimu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 5: Mstari 5:
==Marejeo==
==Marejeo==


<references/> {{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}} [[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]] [[Jamii:Bunge la Tanzania]][[Jamii:Wanasiasa wanawake Tanzania]]
<references/> {{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}} [[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Bunge la Tanzania]][[Jamii:Wanasiasa wanawake Tanzania]]

Pitio la 04:45, 31 Oktoba 2019

Ummy Ally Mwalimu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2010 - 2015, akarudishwa bungeni mwaka 2015. [1]

Mwaka 2017 alikuwa waziri wa Afya, Mendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.[2]

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. About The Ministry, tovuti ya wizara, iliangaliwa Juni 2017