Ilia Vlasov : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'border|right|frameless|248x248px '''Ilia Sergeyevich Vlasov''' (alizaliwa tarehe 3 Agosti 1995) ni [[mchezaji]...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:09, 27 Oktoba 2019

Faili:Ilia Vlasov lord of gravity.jpg

Ilia Sergeyevich Vlasov (alizaliwa tarehe 3 Agosti 1995) ni mchezaji wa mpira wa wavu huko . Ni mwanachama wa timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Urusi na klabu ya mpira wa wavu ya Fakel.

Alipata medali ya shaba katika Ligi ya mpira wa wavu ya Dunia miaka ya 2015.

Viungo vya nje