Syr Darya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17: Mstari 17:
}}
}}
[[Picha:Syr Darya River Floodplain, Kazakhstan, Central Asia.JPG|thumb| Picha ya mto Syr Darya iliyopigwa kutoka anga-nje ]]
[[Picha:Syr Darya River Floodplain, Kazakhstan, Central Asia.JPG|thumb| Picha ya mto Syr Darya iliyopigwa kutoka anga-nje ]]
'''Syr Darya''' (Kigiriki cha Kale ilijulikana kama '''Iaxartes''' (Ἰαξάρτης), ni mto wa [[Asia ya Kati]]. Chanzo cha maji yake kipo katika [[Milima ya Tian Shan]] huko [[Kirgizia]] na mashariki mwa [[Uzbekistan]]. Mto mwenyewe unaanza Kirgizia katika Bonde la Ferghana ambako tawimito mikubwa ya Naryn na Kara Darya inaungana. Inaendelea kupita kwa km 2,212 katika [[Tajikistan]], [[Uzbekistan]] na [[Kazakhstan]] hadi kuishia katika [[Aral (ziwa)|Ziwa Aral]].
'''Syr Darya''' (Kigiriki cha Kale ilijulikana kama '''Iaxartes''' (Ἰαξάρτης), ni mto wa [[Asia ya Kati]]. Chanzo cha maji yake kipo katika [[Milima ya Tian Shan]] huko [[Kirgizia]] na mashariki mwa [[Uzbekistan]]. Mto mwenyewe unaanza Kirgizia katika [[bonde la Ferghana]] ambako tawimito mikubwa ya Naryn na Kara Darya inaungana. Inaendelea kupita kwa km 2,212 katika [[Tajikistan]], [[Uzbekistan]] na [[Kazakhstan]] hadi kuishia katika [[Aral (ziwa)|Ziwa Aral]].

Pamoja na Amu Darya ni mmoja wa mito mikubwa kwenye beseni ya Ziwa Aral. Wakati wa utawala wa Umoja wa Kisovyeti maji ya mito hii miwili yalitumiwa kwa miradi mikubw ya umwagiliaji iliyosababisha kupotea kwa asilimia 90 za Ziwa Aral.

Pitio la 19:46, 24 Oktoba 2019

Syr Darya
Chanzo Kuungana kwa mito Naryn na Kara Darya katika Bonde la Ferghana
Mdomo Ziwa Aral
Nchi Kirgizia, Uzbekistan, Tajikistan, Kazakhstan
Urefu km 2,212
Kimo cha chanzo m 400
Tawimito upande wa kulia Mito Naryn, Chirciq, Arys, Chu, Sarysu
Tawimito upande wa kushoto Mto Kara
Mkondo m3 1,180 kwa wastani (170 wa chini, 3,900 wa juu)
Eneo la beseni km2
Picha ya mto Syr Darya iliyopigwa kutoka anga-nje

Syr Darya (Kigiriki cha Kale ilijulikana kama Iaxartes (Ἰαξάρτης), ni mto wa Asia ya Kati. Chanzo cha maji yake kipo katika Milima ya Tian Shan huko Kirgizia na mashariki mwa Uzbekistan. Mto mwenyewe unaanza Kirgizia katika bonde la Ferghana ambako tawimito mikubwa ya Naryn na Kara Darya inaungana. Inaendelea kupita kwa km 2,212 katika Tajikistan, Uzbekistan na Kazakhstan hadi kuishia katika Ziwa Aral.

Pamoja na Amu Darya ni mmoja wa mito mikubwa kwenye beseni ya Ziwa Aral. Wakati wa utawala wa Umoja wa Kisovyeti maji ya mito hii miwili yalitumiwa kwa miradi mikubw ya umwagiliaji iliyosababisha kupotea kwa asilimia 90 za Ziwa Aral.

Marejeo

Viungo va Nje