Syr Darya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created by translating the page "Syr Darya"
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:14, 24 Oktoba 2019

External links

Picha ya mto Syr Darya iliyopigwa kutoka anga-nje

Syr Darya (Kigiriki cha Kale ilijulikana kama Iaxartes ( kwa Kigiriki Ἰαξάρτης ), ni mto wa Asia ya Kati. Chanzo cha maji yake kipo katika Milima ya Tian Shan huko Kirgizia na mashariki mwa Uzbekistan. Mto mwenyewe unaanza Kirgizia katika Bonde la Ferghana ambako tawimito mikubwa ya Naryn na Kara Darya inaungana. Inaendelea kupita kwa km 2,212 katika Tajikistan, Uzbekistan na Kazakhstan hadi kuishia katika Ziwa Aral.

Pamoja na Amu Darya ni mmoja wa mito mikubwa kwenye beseni ya Ziwa Aral. Wakati wa utawala wa Umoja wa Kisovyeti maji ya mito hii miwili yalitumiwa kwa miradi mikubw ya umwagiliaji iliyosababisha kupotea kwa asilimia 90 za Ziwa Aral.

Marejeo

External links