Mwese : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 22: Mstari 22:
Kata ya Mwese inashabihiana na mkoa wa Kilimanjaro kuanzia [[kilimo]] cha [[migomba]] na [[kahawa]]. Katika kata ya Mwese pia wanatumia [[vinywaji]] maarufu vinavyopatikana Kilimanjaro kama vile [[mbege]].
Kata ya Mwese inashabihiana na mkoa wa Kilimanjaro kuanzia [[kilimo]] cha [[migomba]] na [[kahawa]]. Katika kata ya Mwese pia wanatumia [[vinywaji]] maarufu vinavyopatikana Kilimanjaro kama vile [[mbege]].


Pia wapo wachache wanaotokana na [[kabila]] la [[Watutsi]] waliopokea [[uraia]] na [[Wakikuyu]] ambao walibakia Tanznaia baada ya [[Uhuru]].
Pia wapo wachache wanaotokana na [[kabila]] la [[Watutsi]] waliopokea [[uraia]] na [[Wakikuyu]] ambao walibakia Tanzania baada ya [[Uhuru]].


Kwenye kata ya Mwese kuna [[mto]] ambao unajulikana kama [[Mto Mapacha]] ambao unaaminika kuwa wanaokunywa [[maji]] yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata watoto pacha.
Kwenye kata ya Mwese kuna [[mto]] ambao unajulikana kama [[Mto Mapacha]] ambao unaaminika kuwa wanaokunywa [[maji]] yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata watoto pacha.

Pitio la 12:20, 18 Oktoba 2019


Kata ya Mwese
Nchi Tanzania
Mkoa Rukwa
Wilaya Mpanda
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 7,520

Mwese ni kata ya Wilaya ya Mpanda Vijijini katika Mkoa wa Katavi, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio humo[1], wengi wao wakiwa Wachagga kutoka mkoa wa Kilimanjaro waliohamishiwa hapo na Mwalimu Nyerere mwanzoni mwa miaka ya 1970.

Kata ya Mwese inashabihiana na mkoa wa Kilimanjaro kuanzia kilimo cha migomba na kahawa. Katika kata ya Mwese pia wanatumia vinywaji maarufu vinavyopatikana Kilimanjaro kama vile mbege.

Pia wapo wachache wanaotokana na kabila la Watutsi waliopokea uraia na Wakikuyu ambao walibakia Tanzania baada ya Uhuru.

Kwenye kata ya Mwese kuna mto ambao unajulikana kama Mto Mapacha ambao unaaminika kuwa wanaokunywa maji yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata watoto pacha.

Marejeo

Kigezo:Kata za Wilaya ya Wilaya ya Mpanda Vijijini

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.