Milima ya kuvukia Antaktiki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:

[[Picha:Antaktiki milima.png|450px|thumb|Ramani ya Antaktiki]]
[[Picha:Antaktiki milima.png|450px|thumb|Ramani ya Antaktiki (mstari kahawia: Milima ya kuvukia Antaktiki)]]
'''Milima ya kuvukia Antaktiki''' (ing. Transantarctic Mountains) ni [[safu ya milima]] katika [[bara]] la [[Bara la Antaktiki|Antaktiki]] . Inagawa bara hilo kuwa sehemu mbili za mashariki na magharibi. Inaenea kwa zaidi ya km 3,200. Miinuko ya juu ni zaidi ya mita 4,500 juu ya usawa wa bahari, mrefu zaidi ni Mlima Kirckpatrick (m 4528) katika Nchi ya Queen Viktoria karibu na [[Bahari ya Ross]]. Miinuko ya juu zaidi zinaonekana juu ya ganda la barafu inayofunika bara lote leneye unen wa mita 3,000 laakini sehemu za duni zaidi ya milima ziko chini ya uso wa barafu.

Pitio la 16:10, 14 Oktoba 2019

Ramani ya Antaktiki (mstari kahawia: Milima ya kuvukia Antaktiki)

Milima ya kuvukia Antaktiki (ing. Transantarctic Mountains) ni safu ya milima katika bara la Antaktiki . Inagawa bara hilo kuwa sehemu mbili za mashariki na magharibi. Inaenea kwa zaidi ya km 3,200. Miinuko ya juu ni zaidi ya mita 4,500 juu ya usawa wa bahari, mrefu zaidi ni Mlima Kirckpatrick (m 4528) katika Nchi ya Queen Viktoria karibu na Bahari ya Ross. Miinuko ya juu zaidi zinaonekana juu ya ganda la barafu inayofunika bara lote leneye unen wa mita 3,000 laakini sehemu za duni zaidi ya milima ziko chini ya uso wa barafu.

Rasi ya Antaktiki upande wa magharibi si sehemu ya milima hii.

Kutokana na baridi kali ya mazingira hakuna wanyama wala mimeo, uhai wa pekee ni viumbe sahili kama vile bakteria, [1] mwani na kuvu .

Jina la "Transantarctic Mountains" ilitumiwa kwanza mnamo 1960, kwenye makala ya mtaalamu wa jiolojia Warren Hamilton. [2]

Marejeo

  1. Sokol, Eric; Craig W. Herbold; Charles K. Lee; S. Craig Cary; J. E. Barrett (Nov 2013). "Local and regional influences over soil microbial metacommunities in the Transantarctic Mountains". Ecosphere 4: art136. doi:10.1890/es13-00136.1. Iliwekwa mnamo 8 January 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Hamilton, Warren B. (1960). "New interpretation of Antarctic tectonics." Geological Survey Research 1960 — Short Papers in the Geological Sciences, pp. B379–380. Washington DC: US Geological Survey.