Mwese : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 18: Mstari 18:


}}
}}
'''Mwese''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mpanda Vijijini]] katika [[Mkoa wa Katavi]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio
'''Mwese''' ni [[kata]] ya [[Wilaya ya Mpanda Vijijini]] katika [[Mkoa wa Katavi]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio humo<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi - Mpanda District Council]</ref>, wengi wao wakiwa [[Wachagga]] kutoka [[mkoa wa Kilimanjaro]] waliohamishiwa hapo na [[Mwalimu Nyerere]] mwanzoni mwa [[miaka ya 1970]].
Wengi wao wakiwa Wacchagga KUtoka mkoa wa KILIMANJARO waliohamishiwa hapo na Mwalimu Nyerere miaka ya 1970.


Kata ya mwese inachabihiana na mkoa wa kilimanjaro kuanzia kilimo Cha migomba na kahawa kwa sababu sehemu kubwa ya wakazi wa kata hiyo ni Kabila la Wachagga ambao walihamishiwa hapo na Mwalimu Julius Nyerere kwenye miaka ya mwanzo ya 1970 .
Kata ya Mwese inashabihiana na mkoa wa Kilimanjaro kuanzia [[kilimo]] cha [[migomba]] na [[kahawa]]. Katika kata ya Mwese pia wanatumia [[vinywaji]] maarufu vinavyopatikana Kilimanjaro kama vile [[mbege]].


Pia wapo wachache wanaotokana na kabila la Watutsi walio pesa urais na Wakikuyu ambao walibakia Tanznaia baada ya Uhuru na kuletwa na kundi la
Pia wapo wachache wanaotokana na [[kabila]] la [[Watutsi]] na [[Wakikuyu]] ambao walibakia Tanzania baada ya [[Uhuru]].


VIVUTIO VYA UTALII ... kwenye kata ya mwese kuna moto ambao unajulikana kama MTO MAPACHA ambao unaaminika kuwa wanaokunywa maji yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata MAPACHA ; sehemu kubwa ya wakati wa Mwese wamebarikiwa mapacha
Kati ya vivutio vya kitalii kwenye kata ya Mwese kuna [[mto]] ambao unajulikana kama [[Mto Mapacha]] ambao unaaminika kuwa wanaokunywa [[maji]] yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata [[watoto]] [[Mapacha|pacha]]; sehemu kubwa ya wakazi wa Mwese wamebarikiwa mapacha.

Katika kata ya Mwese pia wanatumia vinywaji maarufu vinavyopatikana KILIMANJARO kama Mbegge .


<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi - Mpanda District Council]</ref>


==Marejeo==
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{marejeo}}

{{Mbegu-jio-katavi}}
{{Mbegu-jio-katavi}}
{{Kata za Wilaya ya Wilaya ya Mpanda Vijijini}}
{{Kata za Wilaya ya Wilaya ya Mpanda Vijijini}}

Pitio la 08:05, 13 Oktoba 2019


Kata ya Mwese
Nchi Tanzania
Mkoa Rukwa
Wilaya Mpanda
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 7,520

Mwese ni kata ya Wilaya ya Mpanda Vijijini katika Mkoa wa Katavi, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio humo[1], wengi wao wakiwa Wachagga kutoka mkoa wa Kilimanjaro waliohamishiwa hapo na Mwalimu Nyerere mwanzoni mwa miaka ya 1970.

Kata ya Mwese inashabihiana na mkoa wa Kilimanjaro kuanzia kilimo cha migomba na kahawa. Katika kata ya Mwese pia wanatumia vinywaji maarufu vinavyopatikana Kilimanjaro kama vile mbege.

Pia wapo wachache wanaotokana na kabila la Watutsi na Wakikuyu ambao walibakia Tanzania baada ya Uhuru.

Kati ya vivutio vya kitalii kwenye kata ya Mwese kuna mto ambao unajulikana kama Mto Mapacha ambao unaaminika kuwa wanaokunywa maji yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata watoto pacha; sehemu kubwa ya wakazi wa Mwese wamebarikiwa mapacha.

Marejeo

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.

Kigezo:Kata za Wilaya ya Wilaya ya Mpanda Vijijini