Mwese : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 18: Mstari 18:

}}
}}
'''Mwese''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mpanda Vijijini]] katika [[Mkoa wa Katavi]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio
'''Mwese''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mpanda Vijijini]] katika [[Mkoa wa Katavi]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio
Wengi wao wakiwa Wacchagga KUtoka mkoa wa KILIMANJARO waliohamishiwa hapo na Mwalimu Nyerere miaka ya 1970.

Kata ya mwese inachabihiana na mkoa wa kilimanjaro kuanzia kilimo Cha migomba na kahawa kwa sababu sehemu kubwa ya wakazi wa kata hiyo ni Kabila la Wachagga ambao walihamishiwa hapo na Mwalimu Julius Nyerere kwenye miaka ya mwanzo ya 1970 .

Pitio la 05:09, 13 Oktoba 2019

Kata ya Mwese
Nchi Tanzania
Mkoa Rukwa
Wilaya Mpanda
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 7,520

Mwese ni jina la kata ya Wilaya ya Mpanda Vijijini katika Mkoa wa Katavi, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,520 waishio Wengi wao wakiwa Wacchagga KUtoka mkoa wa KILIMANJARO waliohamishiwa hapo na Mwalimu Nyerere miaka ya 1970.

Kata ya mwese inachabihiana na mkoa wa kilimanjaro kuanzia kilimo Cha migomba na kahawa kwa sababu sehemu kubwa ya wakazi wa kata hiyo ni Kabila la Wachagga ambao walihamishiwa hapo na Mwalimu Julius Nyerere kwenye miaka ya mwanzo ya 1970 .

Pia wapo wachache wanaotokana na kabila la Watutsi walio pesa urais na Wakikuyu ambao walibakia Tanznaia baada ya Uhuru na kuletwa na kundi la

VIVUTIO VYA UTALII ... kwenye kata ya mwese kuna moto ambao unajulikana kama MTO MAPACHA ambao unaaminika kuwa wanaokunywa maji yake basi wakikutana wana uwezekano mkubwa wa kupata MAPACHA ; sehemu kubwa ya wakati wa Mwese wamebarikiwa mapacha

Katika kata ya Mwese pia wanatumia vinywaji maarufu vinavyopatikana KILIMANJARO kama Mbegge .

[1]

Marejeo

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.

Kigezo:Kata za Wilaya ya Wilaya ya Mpanda Vijijini