Bahari ya Adria : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 98 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q13924 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Adriatic Sea.jpg|thumb|right|Bahari ya Adria jinsi inavyoonekana kutoka angani]]
[[Picha:Adriatic Sea.jpg|thumb|right|Bahari ya Adria jinsi inavyoonekana kutoka angani.]]
[[Picha:Adriatic Sea map.png|thumb|right|Ramani ya Adria]]
[[Picha:Adriatic Sea map.png|thumb|right|Ramani ya Adria.]]
'''Bahari ya Adria''' au kwa kifupi "'''Adria'''" ni ghuba ya [[Mediteranea]] kati ya [[Rasi ya Italia]] na [[Rasi ya Balkani]]. i
'''Bahari ya Adria''' au kwa kifupi "'''Adria'''" ni [[ghuba]] ya [[Mediteranea]] kati ya [[Rasi ya Italia]] na [[Rasi ya Balkani]].


Nchi zinazopakana nayo ni [[Italia]], [[Slovenia]], [[Kroatia]], [[Bosnia na Herzegovina]], [[Montenegro]] na [[Albania]].
Nchi zinazopakana nayo ni [[Italia]] upande wa magharibi, halafu [[Slovenia]], [[Kroatia]], [[Bosnia na Herzegovina]], [[Montenegro]] na [[Albania]] upande wa [[mashariki]].


Adria huelekea kaskazini magharibi kutoka 40°N hadi 45° 45' N.. Urefu wake ni [[km]] 770 km na upana waka kwa wastani ni km 160. Sehemu nyembamba ni [[mlango wa Ortranto]] mwenye upana wa km 85. Eeno lake ni mnamo [[km²]] 160,000.
Adria huelekea [[kaskazini]] [[magharibi]] kutoka 40°N hadi 45° 45' N. [[Urefu]] wake ni [[km]] 770 na upana waka kwa [[wastani]] ni km 160. Sehemu nyembamba ni [[mlangobahari wa Ortranto]] wenye [[upana]] wa km 85. Eeno lake ni mnamo [[km²]] 160,000.


Mwambao wa kaskazini una visiwa vingi hasa mbele ya pwani la Kroatia.
[[Mwambao]] wa kaskazini una [[visiwa]] vingi, hasa mbele ya [[pwani]] ya Kroatia.


{{mbegu-jio-Ulaya}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
Mstari 15: Mstari 15:
[[Jamii:Mediteranea]]
[[Jamii:Mediteranea]]
[[Jamii:Adria| ]]
[[Jamii:Adria| ]]
[[Jamii:Jiografia ya Italia]]
[[Jamii:Jiografia ya Slovenia]]
[[Jamii:Jiografia ya Kroatia]]
[[Jamii:Jiografia ya Bosnia na Herzegovina]]
[[Jamii:Jiografia ya Montenegro]]
[[Jamii:Jiografia ya Albania]]

Pitio la 08:50, 11 Oktoba 2019

Bahari ya Adria jinsi inavyoonekana kutoka angani.
Ramani ya Adria.

Bahari ya Adria au kwa kifupi "Adria" ni ghuba ya Mediteranea kati ya Rasi ya Italia na Rasi ya Balkani.

Nchi zinazopakana nayo ni Italia upande wa magharibi, halafu Slovenia, Kroatia, Bosnia na Herzegovina, Montenegro na Albania upande wa mashariki.

Adria huelekea kaskazini magharibi kutoka 40°N hadi 45° 45' N. Urefu wake ni km 770 na upana waka kwa wastani ni km 160. Sehemu nyembamba ni mlangobahari wa Ortranto wenye upana wa km 85. Eeno lake ni mnamo km² 160,000.

Mwambao wa kaskazini una visiwa vingi, hasa mbele ya pwani ya Kroatia.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Adria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.