Bahari ya Ufilipino : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Philippine_Sea_location.jpg|right|thumb|300x300px| Bahari ya Ufilipino ]]
[[Picha:Philippine_Sea_location.jpg|right|thumb|300x300px| Bahari ya Ufilipino ]]
'''Bahari ya Ufilipino''' ni [[bahari za pembeni]] ya [[Bahari Pasifiki]] lililopo upande wa mashariki wa [[Ufilipino]] na [[Taiwan]]. Bahari za Ufilipino imepakana na [[Japani]] upande wa kaskazini, [[Visiwa vya Mariana]] upande wa mashariki na [[Palau|Kisiwa cha Palau]] upande wa kusini. Eneo lake ni takribani kilomita za mraba milioni 5.
'''Bahari ya Ufilipino''' ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Bahari Pasifiki]] lililopo upande wa mashariki wa [[Ufilipino]] na [[Taiwan]]. Bahari za Ufilipino imepakana na [[Japani]] upande wa kaskazini, [[Visiwa vya Mariana]] upande wa mashariki na [[Palau|Kisiwa cha Palau]] upande wa kusini. Eneo lake ni takribani kilomita za mraba milioni 5.


== Jiolojia ==
== Jiolojia ==

Pitio la 14:51, 10 Oktoba 2019

Bahari ya Ufilipino

Bahari ya Ufilipino ni bahari ya pembeni ya Bahari Pasifiki lililopo upande wa mashariki wa Ufilipino na Taiwan. Bahari za Ufilipino imepakana na Japani upande wa kaskazini, Visiwa vya Mariana upande wa mashariki na Kisiwa cha Palau upande wa kusini. Eneo lake ni takribani kilomita za mraba milioni 5.

Jiolojia

Kijiolojia iko juu za bamba la gandunia la Ufilipino . [1]

Mifereji mirefu duniani inapatikana katika eneo hili ambayo ni Mfereji wa Mariana na Mfereji wa Ufilipino.


Marejeo

  1. International Association for Earthquake Engineering. (2003). International Handbook of Earthquake and Engineering Seismology, Part 2, p. 1057.