96,224
edits
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Ramani ya Mlangobahari wa Taiwan thumb|Taiwan Strait '''Mlangobahari...') |
No edit summary |
||
[[File:Taiwan Strait.png|thumb|Ramani ya Mlangobahari wa Taiwan]]
[[File:Xiamen Island,Lieyu Island and Kimmen Island.JPG|thumb|Taiwan Strait]]
'''Mlangobahari wa Taiwan''' (
Ni njia ya bahari inayotumiwa na [[meli]] nyingi sana zinazobeba [[kontena]] baina ya
▲'''Mlangobahari wa Taiwan''' (ing. ''Taiwan Strait'' au ''Formosa Strait'') ni sehemu ya bahari iliyopo kati ya [[China|China bara]] na kisiwa cha [[Taiwan]]. Huu ni mlangobahari unaounganisha [[Bahari ya Mashariki ya China]] na [[Bahari ya Kusini ya China]]. Upana wake ni kilomita 180, sehemu nyembamba kabisa km 131.
Tangu ushindi wa [[ukomunisti]] katika China bara kwenye [[mwaka]] [[1949]] mlangobahari
▲Ni njia ya bahari inayotumiwa na meli nyingi sana zinazobeba kontena baina ya mabandari ya China bara.
Baada ya Jamhuri ya Watu wa China kupokewa mwaka [[1972]] katika [[Umoja wa Mataifa]] mashambulio katika mlangobahari yamekwisha. Baada ya [[kifo]] cha Mao na [[siasa]] mpya chini ya [[Deng Xiaoping]] [[biashara]] imeweza kuanza baina ya pande hizo mbili za China, mwanzoni kwa [[umbo]] la [[magendo]] na baadaye pia kwa njia halali.
▲Tangu ushindi wa ukomunisti katika China bara kwenye mwaka 1949 mlangobahari huu uliona mapambano kadhaa ya kijeshi. Jeshi la [[Kuomintang]] chini ya rais [[Chiang Kai-shek]] liliweza kujiokoa mbele ya Wakomunisti chini ya [[Mao Zedong]] wakivuka bahari wakafaulu kujitetea pale Taiwan na pia kwenye visiwa vidogo karibu na pwani la bara. [[Jeshi la ukombozi la watu wa China]] lilipiga mizinga visiwa vya karibu kama [[Qemoy]] kwa miaka mingi. Kwa jumla manowari za Marekani zilizuia mashambulio ya jeshi la bara kufika Taiwan. 1965 kulikuwa na mapigano kahdaa baina ya manowari wa pande zote mbili katika eneo la mlangobahari.
==Viungo vya nje==
{{commons category|Taiwan Strait}}
[[Jamii:Jiografia ya China]]
[[Category:Jiografia ya Taiwan]]
[[Category:Milangobahari ya Asia]]
|