Andre Geim : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''Sir Andre Konstantin Geim''' (amezaliwa 21 Oktoba, 1958) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi aliyeshika urai...'
 
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 8: Mstari 8:
[[Jamii:Wanasayansi wa Uholanzi]]
[[Jamii:Wanasayansi wa Uholanzi]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]
[[Jamii: Watu waliopewa cheo cha "Sir"]]
[[Jamii:Watu waliopewa cheo cha "Sir"]]


{{mbegu-Nobel}}
{{mbegu-Nobel}}

Pitio la 09:18, 3 Oktoba 2019

Sir Andre Konstantin Geim (amezaliwa 21 Oktoba, 1958) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi aliyeshika uraia wa Uingereza na Uholanzi. Hasa amechunguza grafini. Mwaka wa 2010, pamoja na Konstantin Novoselov, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Mwaka wa 2012 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andre Geim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.