Ombwe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
tjyghtjhyjyttjym
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Ombwe''' ([[ing.]] ''vacuum'') kwa maana ya sayansi ni hali pasipo na kitu, nafasi pasipo na [[mata]]. Neno hutumiwa hasa kwa hali pasipo na [[gesi]] au [[angahewa]]. Katika lugha nyingi za dunia neno la kilatini "vacuum" hutumiwa.
'''Ombwe''' (kwa [[Kiingereza]] na [[lugha]] nyingi za [[dunia]] neno la [[Kilatini]] "vacuum" hutumiwa) kwa maana ya [[sayansi]] ni hali pasipo na [[kitu]], nafasi pasipo na [[mata]]. [[Neno]] hutumiwa hasa kwa hali pasipo [[gesi]] au [[angahewa]].


Hali halisi si rahisi kupata mahali duniani pasipo na kitu chochote kabisa. Mara nyingi [[anga la nje|anga-nje]] la ardhi yetu huitwa "ombwe". Lakini hata katika ombwe hii kuna mata kidogo. Kwa hiyo "Ombwe" mara nyingi ni hali ambako kiasi cha gesi au hewa kimepungukiwa sana ndani ya chombo na hapa kuna matumizi ya kiuchumi kwa mfano kutunza vyakula ndani ya mifuko ambako hewa nyingi imetolewa nje na hivyo vyakula vinadumu muda mrefu zaidi kwa sababu ya uhaba wa oksijeni ndani ya mfuko.
Hali halisi si rahisi kupata mahali duniani pasipo kitu chochote kabisa. Mara nyingi [[anga la nje|anga-nje]] la [[ardhi]] yetu huitwa "ombwe". Lakini hata katika ombwe hii kuna mata kidogo. Kwa hiyo "ombwe" mara nyingi ni hali ambapo kiasi cha gesi au hewa kimepungua sana ndani ya chombo na hapa kuna matumizi ya kiuchumi kwa mfano kutunza [[vyakula]] ndani ya mifuko ambako [[hewa]] nyingi imetolewa nje na hivyo vyakula vinadumu [[muda]] mrefu zaidi kwa sababu ya uhaba wa [[oksijeni]] ndani ya mfuko.


OMBWE-OMBWE

Ombwe-Ombwe is a professional football player who plays for JoeyRodensMagic. He is from the Democratic republic of the Congo.


== Marejeo ==
== Marejeo ==
* [http://www.vakuum-bohemia.cz/vacuum_pumps.php Industrial vacuum information]
* [http://www.vakuum-bohemia.cz/vacuum_pumps.php Industrial vacuum information]
{{mbegu-sayansi}}

[[Jamii:Fizikia]]
[[Jamii:Fizikia]]

Pitio la 12:08, 2 Oktoba 2019

Ombwe (kwa Kiingereza na lugha nyingi za dunia neno la Kilatini "vacuum" hutumiwa) kwa maana ya sayansi ni hali pasipo na kitu, nafasi pasipo na mata. Neno hutumiwa hasa kwa hali pasipo gesi au angahewa.

Hali halisi si rahisi kupata mahali duniani pasipo kitu chochote kabisa. Mara nyingi anga-nje la ardhi yetu huitwa "ombwe". Lakini hata katika ombwe hii kuna mata kidogo. Kwa hiyo "ombwe" mara nyingi ni hali ambapo kiasi cha gesi au hewa kimepungua sana ndani ya chombo na hapa kuna matumizi ya kiuchumi kwa mfano kutunza vyakula ndani ya mifuko ambako hewa nyingi imetolewa nje na hivyo vyakula vinadumu muda mrefu zaidi kwa sababu ya uhaba wa oksijeni ndani ya mfuko.

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ombwe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.