Septimius Severus : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|fi}} using AWB (10903)
No edit summary
 
Mstari 3: Mstari 3:
'''Lucius Septimius Severus''' ([[11 Aprili]], [[146]] – [[4 Februari]], [[211]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[9 Aprili]], [[193]] hadi kifo chake. Alimfuata [[Didius Julianus]]. Alikuwa Kaizari wa Roma wa kwanza kutoka [[Afrika]] ya Kiroma aliyezaliwa huko [[Leptis Magna]] ([[Libya]] ya leo).

==Tazama pia==
* [[Orodha ya Makaizari wa Roma]]
{{commons|Septimius Severus}}
{{commons|Septimius Severus}}

Toleo la sasa la 13:23, 28 Septemba 2019

Septimius Severus

Lucius Septimius Severus (11 Aprili, 1464 Februari, 211) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 9 Aprili, 193 hadi kifo chake. Alimfuata Didius Julianus. Alikuwa Kaizari wa Roma wa kwanza kutoka Afrika ya Kiroma aliyezaliwa huko Leptis Magna (Libya ya leo).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Septimius Severus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.