Tofauti kati ya marekesbisho "Kaizari Macrinus"

Jump to navigation Jump to search
49 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
d (All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|de}} using AWB (10903))
 
'''Marcus Opellius Macrinus''' (takriban [[165]] – Juni [[218]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[11 Aprili]], [[217]] hadi tarehe [[8 Juni]], [[218]]. Alimfuata [[Caracalla]]. Kabla Macrinus hajafa, mpwa wa Caracalla, [[Elagabalus]] alitangazwa kuwa Kaizari tarehe [[18 Mei]]. Alimshinda Macrinus katika pigano la vita tarehe [[8 Juni]], na Macrinus aliuawa kisheria baadaye kidogo.
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya Makaizari wa Roma]]
{{mbegu-Kaizari-Roma}}
 

Urambazaji