Pere Ermengol : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|200px|[[Mchoro wa Vicente Carducho ukionyesha Mt. Pedro Armengol ali...'
 
Mstari 18: Mstari 18:


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
{{commons|Pere Ermengol}}
*[http://catholicsaints.info/blessed-peter-armengol/ Saints SQPN]
*[http://catholicsaints.info/blessed-peter-armengol/ Saints SQPN]



Pitio la 12:01, 27 Septemba 2019

Mchoro wa Vicente Carducho ukionyesha Mt. Pedro Armengol alivyookolewa na Bikira Maria baada ya kunyongwa.

Pere Ermengol, O. de M. (1238 hivi – 27 Aprili 1304) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Tarragona, Catalonia, Hispania ambaye alikwenda Algeria na Moroko kukomboa watumwa akanyongwa kwa ajili ya imani yake lakini hakufa.

Kabla ya hapo aliwahi kuongoza kikosi cha majambazi.

Papa Inosenti XI alimtangaza mwenye heri 28 Machi 1686 tena mtakatifu tarehe 8 Aprili 1687.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Aprili.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.