Mto Bann : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 19 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q19691 (translate me)
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 10: Mstari 10:


== Bann ya Juu ==
== Bann ya Juu ==
Bann ya juu huanzia katika [[Milima]] ya Mourne katika [[Kata ya chini ]]na kutiririka ndani ya [[Lough Neagh]] katika [[Bannfoot, kata ya Armagh.]] Mkondo huu moja ya mito maarufu ya uvuvi katika Ulaya. Karibu [[Portadown]] unajiunga na [[mtaro wa Newry,]] usiotumika, ambao ulikuwa njia ya kufika kusini ya [[Bahari Kiayalandi.]]
Bann ya juu huanzia katika [[Milima]] ya Mourne katika [[Kata ya chini]]na kutiririka ndani ya [[Lough Neagh]] katika [[Bannfoot, kata ya Armagh.]] Mkondo huu moja ya mito maarufu ya uvuvi katika Ulaya. Karibu [[Portadown]] unajiunga na [[mtaro wa Newry,]] usiotumika, ambao ulikuwa njia ya kufika kusini ya [[Bahari Kiayalandi.]]




Mstari 16: Mstari 16:
== Bann ya Chini ==
== Bann ya Chini ==
[[Picha:River Bann at Coleraine.JPG|thumb|Mtazamo wa Mto Bann katika Coleraine na buga kando ya mto kwenye mafuko za mashariki ya mto]]
[[Picha:River Bann at Coleraine.JPG|thumb|Mtazamo wa Mto Bann katika Coleraine na buga kando ya mto kwenye mafuko za mashariki ya mto]]
Bann ya chini mtiririko kutoka Lough Neagh katika [[Toome]] hadi [[Atlantiki]] katika Portstewart. Mto huu njia ya maji ambayo ina mitaro na milango tano lkatika maili 38 (51 [[km)]] zake. Mto huu ni maarufu katika michezo ya maji, waendesahji wa mashaua huwa na trafiki ndogo. Huwa kama mpaka kati ya [[kata ya Antrim]] na [[kata ya Londonderry.]] Bandari ya kibiashara pekee katika mto huu ni katika [[Coleraine.]] Meli kutoka [[Bahari ya Londonderry ]]na [[Bahari ya Belfast]] za kuhamisha makaa ya mawe na vyuma chakavu.
Bann ya chini mtiririko kutoka Lough Neagh katika [[Toome]] hadi [[Atlantiki]] katika Portstewart. Mto huu njia ya maji ambayo ina mitaro na milango tano lkatika maili 38 (51 [[km)]] zake. Mto huu ni maarufu katika michezo ya maji, waendesahji wa mashaua huwa na trafiki ndogo. Huwa kama mpaka kati ya [[kata ya Antrim]] na [[kata ya Londonderry.]] Bandari ya kibiashara pekee katika mto huu ni katika [[Coleraine.]] Meli kutoka [[Bahari ya Londonderry]]na [[Bahari ya Belfast]] za kuhamisha makaa ya mawe na vyuma chakavu.





Pitio la 05:39, 20 Septemba 2019


Mito ya Ireland


Mto Bann Irish: An Bhanna ni mto mrefu katika Ireland ya Kaskazini,na jumla ya urefu wa maili 80 (129 km). Mto huu huunda njia yake kutoka kona ya kusini mashariki ya jimbo [1] kuelekea pwani ya kazini magharibi , [2] kukoma katikati na kupanuka kuwa Lough Neagh kubwa . Mto huu umecheza sehemu muhimu katika maendeleo ya viwanda katika kaskazini ya Ireland, hasa katika Viwanda vya Taulo . Leo, uvuvi wa Salmoni na Eel ni vipengele muhimu vya kiuchumi ya mto. Mto huu hutumika kama laini ya kugawanya kati ya maeneo ya mashariki na magharibi ya Ireland ya Kaskazini, na kujulikana kma "Mgawanyo wa Bann ". Halmashauri ya miji na biashara "magharibi ya Bann" mara nyingi huonekanakuwa uwekezaji na matumizi ya serikali ya chini kuliko yale ya mashariki. [3] Pia huonekana kama mgawanyiko wa kisiasa na kidini, ambapo Wakatoliki, Nationalists na Republican wengi kuwa katika magharibi, na Waprotestanti na unionist katika mashariki. [4] [5]


Bann ya Juu

Bann ya juu huanzia katika Milima ya Mourne katika Kata ya chinina kutiririka ndani ya Lough Neagh katika Bannfoot, kata ya Armagh. Mkondo huu moja ya mito maarufu ya uvuvi katika Ulaya. Karibu Portadown unajiunga na mtaro wa Newry, usiotumika, ambao ulikuwa njia ya kufika kusini ya Bahari Kiayalandi.


Bann ya Chini

Mtazamo wa Mto Bann katika Coleraine na buga kando ya mto kwenye mafuko za mashariki ya mto

Bann ya chini mtiririko kutoka Lough Neagh katika Toome hadi Atlantiki katika Portstewart. Mto huu njia ya maji ambayo ina mitaro na milango tano lkatika maili 38 (51 km) zake. Mto huu ni maarufu katika michezo ya maji, waendesahji wa mashaua huwa na trafiki ndogo. Huwa kama mpaka kati ya kata ya Antrim na kata ya Londonderry. Bandari ya kibiashara pekee katika mto huu ni katika Coleraine. Meli kutoka Bahari ya Londonderryna Bahari ya Belfast za kuhamisha makaa ya mawe na vyuma chakavu.


Angalia Pia


Marejeo

  1. 54°10′01″N 6°04′59″W / 54.167°N 6.083°W / 54.167; -6.083
  2. 55°09′47″N 6°46′05″W / 55.163°N 6.768°W / 55.163; -6.768
  3. [6] ^ Taarifa za BBC
  4. [7] ^ Uandikaji wa utafiti wa Ireland ya Kaskazini Toleo la 1993, mtandao wa huduma wa CAIN
  5. [8] ^ Maandishi ya Strabane


Viungo vya nje