Baraza la mawaziri Tanzania 2015 : Tofauti kati ya masahihisho
d Masahihisho aliyefanya 197.250.227.46 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Jadnapac Tag: Rollback |
d corr using AWB |
||
Mstari 81: | Mstari 81: | ||
|- |
|- |
||
| [[File:No image.svg|75px]] |
| [[File:No image.svg|75px]] |
||
| [[Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi |Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi |
| [[Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi |Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi]] |
||
| style="background:#228B22" | |
| style="background:#228B22" | |
||
| Professor. [[Joyce Lazaro Ndalichako]] |
| Professor. [[Joyce Lazaro Ndalichako]] |
Pitio la 05:38, 20 Septemba 2019
Baraza la Mawaziri la Tanzania ni ngazi ya juu ya serikali au mkono wa utendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mfumo wa mgawanyo wa madaraka.
Baraza hili linaundwa na rais, makamu wa rais, rais wa Zanzibar, waziri mkuu na mawaziri wote. [1] Manaibu mawaziri si sehemu ya baraza. Mwanasheria Mkuu anashiriki katika mikutano ya baraza lakini hana haki ya kupiga kura katika mikutano hiyo.
Mikutano ya baraza huongozwa na Rais kama mwenyekiti, kama Rais hayupo basi mikutano hiyo huongozwa na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo mikutano hiyo huongozwa na Waziri Mkuu.[2]
Serikali iliyopo ilitangazwa na John Magufuli, rais wa tano wa Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 mnamo tarehe 10 Desemba 2015. Isipokuwa nafasi 4 zilichelewa kutajwa majina hadi tarehe 23 Desemba, na hapo waliingia Jumanne Maghembe, Philip Mpango, Gerson Lwenge na Joyce Ndalichako. Siku hiyohiyo Makame Mbarawa alihamishwa kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwenda Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Chama anachotoka | Chama Cha Mapinduzi |
---|
Marejeo
- ↑ "Cabinet of Tanzania". tanzania.go.tz. May 2012. Iliwekwa mnamo May 2012. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ Katiba ya Tanzania, fungu 54
- ↑ "Baraza la Mawaziri". Ikulu. 10 December 2015. Iliwekwa mnamo 11 December 2015. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Magufuli releases long awaited cabinet", 10 December 2015.
- ↑ Chama Cha Mapinduzi [@ccm_tanzania] (10 December 2015). "Rais Magufuli atangaza Baraza la Mawaziri" (Tweet) (kwa Swahili). Iliwekwa mnamo 10 December 2015 – kutoka Twitter. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri". Ikulu. 01 July 2018. Iliwekwa mnamo 06 August 2018. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help)
Tazama pia
Wizara za Serikali ya Tanzania Orodha_ya_Mawaziri_Wakuu_wa_Tanzania